UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Hahahaha maana hizo hoja huwezi kupingana nazo hatareal I like it
NI RAHISI SANA KUJISIFIA UMAHIRI WA KUOGELEA KWENYE MTO UENDAO KASI UKIWA UKINGONIKwanza,
Sijui serikali ni tajiri kiasi gani. Kwa hio kama kusema nina hela zaidi ya serikali sioni tatizo
Pili na Kwanza,
Nasikia serikali inakopa ndani na nje mwaka hadi mwaka na deni la Taifa hulalamikiwa kuongezeka mwaka hadi mwaka. Mimi wala sijawahi kukopa, sasa kwanini nisisema nina pesa zaidi ya serikali?
Tatu na Kwanza,
Serikali inakimbizana kukusanya kodi, inaomba msaada hapa na pale, mimi naishi kwa sadaka ya waumini yaani sikusanyi kodi, wala sitembezi bakuli kuomba msaada, sasa Je kwa nini nisiseme nina hela kuizidi serikali?
Nne na Kwanza,
Sina majukumu sijui kuimarisha huduma za kijamii hususani hospitali, mashule, ulinzi na mambo kama hayo ila serikali inayo, Jukumu langu ni moja tu KUHUBIRI INJILI YA BWANA YESU KRISTO, sasa kwanini nisiseme nina hela kuishinda serikali?
Tano na Kwanza,
Biblia inatuambia tafuteni kwanza ufalme wa Mbinguni na mengine mtapewa, mimi naona ufalme wa Mbinguni ninao hivyo utajiri nilio nao ni zaidi wa serikali
Sita na Kwanza,
Maandiko matakatifu yanasema Utajiri na Heshima upo mikononi mwa Mungu Baba Muumba. Mimi ni mtumishi wa Mungu Baba Muumba, hivyo utajiri ninao maana upo mikononi mwake
Saba na Kwanza,
Namalizia kwa kusema tena mbele yao mimi nina Utajiri wa kiroho, mwili na nafsi ambazo ni zaidi ya pesa za Dunia yote hii. Naendelea kukazia kwa kusema mimi nina Utajiri kuliko serikali yote ya Dunia hii
Nane na Kwanza,
Naendelea kufuata ratiba yangu ya kuhubiri wala sina muda na wakaguzi wa TRA maana msimamo wa katiba yetu hairuhusu ku audit sadaka wala kulipisha kodi. FULL STOP.
Hapo polisi wataingizwa mkenge kukamata watumishi wa hapo kanisani kwa nguvu. The beginning of chaos !
Duuuuduh! mkulu wahurumie huku mtaani maana vijana wanawaza kuwa [HASHTAG]#kobe[/HASHTAG] watembee na nyumba zao.nilipoona "ningekuwa" uzi mbovu kabisa
So, what do you wanna say lad?NI RAHISI SANA KUJISIFIA UMAHIRI WA KUOGELEA KWENYE MTO UENDAO KASI UKIWA UKINGONI
Mmmh amekusikiaKwanza,
Sijui serikali ni tajiri kiasi gani. Kwa hio kama kusema nina hela zaidi ya serikali sioni tatizo
Pili na Kwanza,
Nasikia serikali inakopa ndani na nje mwaka hadi mwaka na deni la Taifa hulalamikiwa kuongezeka mwaka hadi mwaka. Mimi wala sijawahi kukopa, sasa kwanini nisisema nina pesa zaidi ya serikali?
Tatu na Kwanza,
Serikali inakimbizana kukusanya kodi, inaomba msaada hapa na pale, mimi naishi kwa sadaka ya waumini yaani sikusanyi kodi, wala sitembezi bakuli kuomba msaada, sasa Je kwa nini nisiseme nina hela kuizidi serikali?
Nne na Kwanza,
Sina majukumu sijui kuimarisha huduma za kijamii hususani hospitali, mashule, ulinzi na mambo kama hayo ila serikali inayo, Jukumu langu ni moja tu KUHUBIRI INJILI YA BWANA YESU KRISTO, sasa kwanini nisiseme nina hela kuishinda serikali?
Tano na Kwanza,
Biblia inatuambia tafuteni kwanza ufalme wa Mbinguni na mengine mtapewa, mimi naona ufalme wa Mbinguni ninao hivyo utajiri nilio nao ni zaidi wa serikali
Sita na Kwanza,
Maandiko matakatifu yanasema Utajiri na Heshima upo mikononi mwa Mungu Baba Muumba. Mimi ni mtumishi wa Mungu Baba Muumba, hivyo utajiri ninao maana upo mikononi mwake
Saba na Kwanza,
Namalizia kwa kusema tena mbele yao mimi nina Utajiri wa kiroho, mwili na nafsi ambazo ni zaidi ya pesa za Dunia yote hii. Naendelea kukazia kwa kusema mimi nina Utajiri kuliko serikali yote ya Dunia hii
Nane na Kwanza,
Naendelea kufuata ratiba yangu ya kuhubiri wala sina muda na wakaguzi wa TRA maana msimamo wa katiba yetu hairuhusu ku audit sadaka wala kulipisha kodi. FULL STOP.
Hapo polisi wataingizwa mkenge kukamata watumishi wa hapo kanisani kwa nguvu. The beginning of chaos !
Nani anyookeAtanyoka tu
Hope soMmmh amekusikia
Mimi ningesema Nina pesa nyingi zaidi ya serikali yule MTU wa kijijini kwetu anayeitwa serikali
HahahahahaMimi ningesema Nina pesa nyingi zaidi ya serikali yule MTU wa kijijini kwetu anayeitwa serikali
Nani anyooke
HakikaHatahivyo, Askofu Kakobe hakumaanisha kuwa na utajiri wa Pesa tasilimu km ambavyo CCM wanajaribu bahati yao kueneza propaganda kwa watu baada ya kushindwa kujibu hoja ya msingi ya Askofu huyu. Alimaanisha, anakibali toka kwa Mungu cha kumiliki watu na kuwaongoza kiroho na hao watu humtunza kimaisha hadi milele! Hahitaji kulisumbukia tumbo kwa kubabaishwa na hongo za pesa wala chai. Jambo muhimu na la kuzingatia kwake ni kuyatenda kwa ukamilifu yaliyo ya Mungu na baraka nyingine za Duniani humfuata automatically! Kwa maana hiyo, yeye ni taajiri kuliko Serikali ambayo awamu moja hupita ikimwacha pale pale na nyingine kuja na kuondoka. Ukweli ni kwamba, CCM walimwelewa vizuri sana isipokuwa, wanajaribu bahati yao yakumtafutia kosa kupitia ulimi wake kwa lengo la kulipiza kisasi! Ninawashauri CCM, waache mapambano yasiyo na msingi kwani haijawahi kutokea na haitatokea UWONGO ukazidi nguvu UKWELI, wanajiweka ktk mazingira magumu mno kumg'ang'ania Askofu Kakobe na kadili wanavyofanya figisu ndivyo record ya matukio inavyotunzwa kwa ajili ya vizazi vijavyo!