Nyanda Banka JF-Expert Member Joined Mar 14, 2023 Posts 333 Reaction score 1,261 Jun 12, 2024 #1 Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe "Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?" Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu mpaka asubuhi". Bwana harusi kazimia
Jamaa siku yao ya kwanza ya ndoa wakiwa kitandani akamuuliza mkewe "Una uhakika mimi ndiye mwanaume wa kwanza kulala nawe?" Mke akajibu "Ndiyo honey, wengine wote ilikuwa hatulali ni shughuli tu mpaka asubuhi". Bwana harusi kazimia
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,835 Reaction score 165,689 Jun 12, 2024 #2 Nyashi halijawahi kufeli naona apo kamanda analitumia kupimia shabaha😁😁
D Dume Jembe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2024 Posts 707 Reaction score 772 Jun 12, 2024 #3 Litakuwa jini siyo mtu
Nyanda Banka JF-Expert Member Joined Mar 14, 2023 Posts 333 Reaction score 1,261 Jun 12, 2024 Thread starter #4 min -me said: Nyashi halijawahi kufeli naona apo kamanda analitumia kupimia shabaha😁😁 Click to expand... Uhakika
min -me said: Nyashi halijawahi kufeli naona apo kamanda analitumia kupimia shabaha😁😁 Click to expand... Uhakika
Mbogo Jr Member Joined Jun 6, 2024 Posts 25 Reaction score 40 Jun 12, 2024 #5 Kuna Wengne Wana Big Nyashi Za Kulengea Shabaha
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,801 Reaction score 113,362 Jun 12, 2024 #6 Kwamba mumewe kazi haiwezi
geesten66 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2017 Posts 2,329 Reaction score 2,956 Jun 12, 2024 #7 Demu mwenyewe ndiyo uyo Alie bong'oa hapo na uyo kamanda ndiyo mume mwenyewe au.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,177 Reaction score 25,512 Jun 12, 2024 #8 Kwani jamaa aliona bikra ya mkewe huyo kabla hajamuuliza hilo swali?!