Mwogope mungu uongo wa kimataifa.Kwa nini isiwezekane?...Mbona kuna siku mimi nilikosa nauli kutoka Mwenge kuja Shekilango nikachukua short cut. Kufika ukuta wa Posta nikaona kijimfuko..kama utani nikakiokota kufungua ndani nikakuta elfu 83..nakajiambia sitaki hela za kuokota nikakiacha palepale nikaendelea kuunga mkono Azimio!!!!
Hii hadithi hata kwenye "Hekaya za Abunwas" haipo!
Lini na maeneo gn mkuu nikachukue thic time???
Mkuu Inkhubu comment yako na maantiki yako na ubishani wenu na kiroboto vimenifanya nisome karibu michango yote ktk bandiko hili. Kweli nimeamini binadamu tunatofautiana sana! Yaani pamoja na kuandika kwa ufasaha kiasi hicho mtu hajakuelewa,hata ulivyomwambia issue hapa ni"kuwezekana"lkn bado mtu haelewi!? Hii kweli job true true!!!!!