Kama ndio wewe mfumaniaji ungefanyaje

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,606
BE HONEST HERE

Bibi harusi afumwa akifanya mapenzi na mpenzi wake wa zamani kwa mara ya mwisho katika jumba lisilomaliziwa na mpambe wake siku ya harusi yake, kama wewe ungekuwa mpambe wake, ungefanya nini?

A: Ungetoa siri kwa watu.
B: ungenyamaza kulinda harusi ya rafiki yako.

[HASHTAG]#SHARE[/HASHTAG].
b259b9278645651b9a78b878559064a3.jpg
 
Ingewezekana kukaa kimya ila ni kwa muda, sababu sisi wanawake tukiwa na jambo tuna kimuhemuhe lazima tu atafutwe rafiki wa karibu mwingine aambiwe kwa sharti la kwamba usimwambie ni wewe tu ndio nakwambia.

Ila sasa mwisho wa siku rafiki naye atashindwa kukaa nalo naye ataamua kutafuta wa pekee naye amwambie na mwisho wa siku yataenea tu.

Tuna vifua ila sio vya kutunza siri na pia msisahau hakuna siri ya watu wawili na pale tumeshaona watatu akiwemo na huyo mwanaume basi ujue sio siri tena ile.
 
Ingewezekana kukaa kimya ila ni kwa muda, sababu sisi wanawake tukiwa na jambo tuna kimuhemuhe lazima tu atafutwe rafiki wa karibu mwingine ambiwe kwa sharti la kwamba usimwambie ni wewe tu ndio nakwambia.

Ila sasa mwisho wa siku rafiki naye atashindwa kukaa nalo naye ataamua atayasambaza na mwisho wa siku yataenea tu.

Tuna vifua ila sio vya kutunza siri na pia msisahau hakuna siri ya watu wawili na pale tumeshaona watatu akiwemo na huyo mwanaume basi ujue sio siri tena ile.
huwa unanikoshaaa sana kwenye hili jamviiii natamanii nikufahamuuuu sanaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom