Kama Ndege ya Malasyia Ingepotea TZ Ingekua Hivi

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Kama ndege ya Malasyia ingepotea hapa tz ingekua hivi:

Rais angehutubia taifa.bendera zingepepea nusu mlingoti, kungekuwa na siku tatu za maombolezo.Ingeundwa tume ya kuchunguza. Ambayo ingelipwa kila siku laki5.

Baada ya ndege kuacha kuonekana ingeundwa tume nyingine ya kuichunguza tume ya kwanza. Lakini magazeti yangeuzwa sana hasa gazeti la Ijumaa.Kwanza lingeandika rubani alikataa kurusha ndege akalazimishwa.

Baadae lingeandika imeonekana Mtwara. Gazeti la mwananchi lingeandika abiria walikuwa 250 Majira lingeandika abiria walikuwa 289.Nipashe lingeandika abiria 275.

Lakini wananchi nao wangeandamana nchi nzima ili Mwakyembe ajiuzulu.
Masoud kipanya angechora katuni ya mtu kashika darubini anatafuta ndege.

Wasanii wa bongo fleva wangetunga wimbo wa pamoja. kama John Komba angechelewa kutunga.

TBC1 wangekuwa na kipindi maalum cha kuhusu hiyo ajali. Pia zingechapishwa t-shirt ambazo zingekuwa na picha ya ndege. Zingeandikwa We will always remember you.

Magazeti yangeuzwa kuliko yalivyouzwa kwenye msiba wa baba wa taifa.Lakini uchawi nao ungehusishwa bila kusahau freemasons.

TANZANIA KIBOKO NA NI AJABU LA NANE DUNIA, sasa rais wake anazulula UK kuomba misaada wakati kila kitu (maliasili na mali) zipo hapa
 
Unajuaje kama Malaysia hawajaunda tume!? bavichwa bana! shida tupu.
 
I salute you kaka mkubwa Frema120... umegusa patamu sana!! Hilo haswaa ndio lingetoke, na sana sana tume ya kwanza ingeomba kuongezewa muda maana kazi ingalikuwa ngumu...
 
Shark umeibiwa mawazo huku, akulipe huyu mwanzsha thread.
 
Last edited by a moderator:
Unajuaje kama Malaysia hawajaunda tume!? bavichwa bana! shida tupu.

Ukilala, ukiwekewa ktu, ukiamka, ukienda cho.o.ni, ukifua nani..nk.

Akili zako ni kuwaza bavicha tuuuu

Kuwaa wewe sio kila kitu ni siasa tuuuuuuuuu, na kwa taarifa yako mimi naweza kukuzaa wewe usiniite BAVICHA kuanzia leo koma.

Uwezi kuchangia sio lazima soma tuu.
 
Back
Top Bottom