Ndugu zanguni, kila Mtanzania anajua jinsi rasilimali za Nchi yetu zinavyochakazwa na WAHUNI siku hizi.
Kila unapogusa pana upigaji mrefu kabisa. Watu wanakosa huduma za kijamii, na Wapigaji wanaongezeka kila uchao.
Juzi nilisema hapa kuwa, siku hizi vitendo vya WIZI, UFISADI NA RUSHWA vinafanyika waziwazi. Siyo kwa kificho tena. Vinafanyika waziwazi mchana kweupe pee.
Hii ni kwa sababu hakuna mtu anayeweza kuwawajibisha. Viongozi wetu wa Serikali hawana meno.
Vitendo hivi vinafanyika kwa ushirikiano mkubwa sana.
Utakuta ndani yake yupo RC, DC, Mkurugenzi, Mbunge, Waziri anayehusika, TAKUKURU, Hakimu/Jaji, TAKUKURU na wengineo.
Nchi yoyote ile ukiona Rais wa Nchi ni LEGELEGE ujue Watendaji wake wote walio chini yake watakuwa UJI UJI na wanakuwa hawana meno.
Kitakachofuata hapo ni Taifa kuchakaa kabisa na hatimaye kuingia kwenye machafuko.
RIP, OUR BELOVED FATHER, JPM.