Kama Nape anakir sababu za kuondolewa haweza kuziweka hadharan,je Lowassa ndio angeweza kusema yote?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,070
151,323
Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ukizingatia Nape alikuwa ni waziri tu huku Lowassa alikuwa ni waziri mkuu.

Je,ni kweli Lowassa angeweza kueleza kila kitu Bungeni kabla ya kujiuzulu?

Busara anayotumia Nape ya kukaa kimya sio ndiyo hiyo aliotumia Lowassa ukiachilia mbali swala zima la collective responsibility?

Nimejiuliza maswali haya baada ya kusikia clip ya mahojiano kati ya Nape na kituo cha televesion cha Azam tv.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom