kama nawaona yeboyebo wakinyanyua kikombe chao cha chai kwamajonzii! Hii nibaada ya kubanjuliwa na mwandazimu mwenzao AKA mama libolo.Nikikumbuka mechi ijayo ya Simba na Yanga,kama namuona Mbuyu Twite akishangilia goli la tatu dakika ya 39 kipindi cha kwanza.
....Kama namuona rage akiondoka uwanjani mapema dakika za mwanzoni kipindi cha 2.
.....Kama namuona julio akipewa kadi nyekundu kwa kwa kuingia uwanjani kuzua pasi ya niyonzima isimfikie kavumbago akafunge goli la tano
....Kama nawaona mashabiki wasimba wakgombania mlango wa kutoka kabla ya mechi haijaisha,eti hawataki kuliona kombe la mabingwa.
....Kama najiona Nipo SIMBA KAPAKATWA PUB nikisherekea ubingwa kwa kula laga za kutosha tu.
....Ongeza ya kwako ukianzia neno KAMA
Kama namuona Kaseja akiokoa penati iliyotolewa kiutata na Oden Mbaga huku display kwenye TV ikisoma Simba 2-1 Ya nga, dakika 89:50.
Vp ile ahadi ya O utaiweka hadharani?Kama namuona ngassa akiwa jukwaani akitabasamu baada ya kumuona mshikaji wake Jerry Tegete akipiga goli la 4!
Ntakuja kivingine!Vp ile ahadi ya O utaiweka hadharani?
Ntakuja kivingine!
Ila mkuu kiswahili kinakupa shida, mechi ijayo halafu wewe unakumbuka!!!Nikikumbuka mechi ijayo ya Simba na Yanga
kama nakuona uki-log off kwa hasira na kuzima komputa kabisaa baada ya dakika tisini kwishaNa bado, mtaweweseka sana na zile Pawasa (goli tano)....hamlali wala hamnywi kwa kile kishindo.....na bado tutakupigeni miguu ya kuku jumamosi!
kama nakuona uki-log off kwa hasira na kuzima komputa kabisaa baada ya dakika tisini kwisha