Kama Mwaka 2021 ukianza kwa Logan Paul kumshinda Floyd Mayweather Itabidi nikaishi dunia nyingine

Pekejeng

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
407
1,042
Hivi kweli huyu dogo wa 95 ambaye hata Wikipedia inamtambua kama You Tuber ndo wa kuweza kumshinda Legendari Mayweather? Kweli duniani inaenda kasi sana.

Ngoja tusubiri japo nimefatilia baadhi ya mapambano yake nimeona yuko vizuri ila ningumu kuamini kama anaweza tunishiana msuli na FM.
 
Jana uliona kazi?
 
Sheria ya pambano ilikuwa mshindi hatangazwi, ni show off fight tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom