Mimi hizi equestion zime nisaidia na zina nisaidia mpaka sasa pia nina uhakika zitaendelea kunisaidia ndio maana hata baada ya kumaliza shule niliendelea kusolve ,
Labda nikwambie tu sio kila topic au somo utakutana nayo directly kwenye life ,
Yani utegemee uambiwe kua Aljebra hii apa ina kupa pesa au inakusaidia kupata hiki/kile in life , sio possible
Kuna vitu tulifundishwa hata in life havipo ili kukujenga kifikra ,kukuongezea uwezo wa kutatua changamoto , ndio maana utatuaji wa changamoto wa msomi na asie msomi hauwezi kufanana , hata kama hiyo changamoto haina uhusiano na masuala ya shule ,
Ume gusia mitaala mimi huko siwezi kugusia nachotaka u solve swali na nimeweka hapa kwa ajiri yabwanao weza kujaribu au kufanya sio mnao complicate lila kitu kutaka kiwasaidie kupata pesa