Ng'wanangwa JF-Expert Member Aug 28, 2010 10,827 4,172 Jan 24, 2011 #1 Nchi imenishinda kuongoza. Unatarajia ningefanya nini zaidi ya kusepa?
M Mtu wa Mungu JF-Expert Member Nov 9, 2010 444 19 Jan 28, 2011 #2 Tukio hili linakuja siku si nyingi zijazo-hili la Dowans ndiyo kiwasha moto-waliotoa hela zao kufadhili uchaguzi wanataka hela zao; waTz wenye hela wamekataa hela yao kutoka-sasa akajifiche wapi kama siyo SA??????????????:clap2:
Tukio hili linakuja siku si nyingi zijazo-hili la Dowans ndiyo kiwasha moto-waliotoa hela zao kufadhili uchaguzi wanataka hela zao; waTz wenye hela wamekataa hela yao kutoka-sasa akajifiche wapi kama siyo SA??????????????:clap2:
coscated JF-Expert Member Nov 17, 2010 2,919 1,968 Jan 28, 2011 #3 Ng'wanangwa said: Nchi imenishinda kuongoza. Unatarajia ningefanya nini zaidi ya kusepa? Click to expand... sio rahisi ku lane: mpaka saudi arabia
Ng'wanangwa said: Nchi imenishinda kuongoza. Unatarajia ningefanya nini zaidi ya kusepa? Click to expand... sio rahisi ku lane: mpaka saudi arabia
M mzambia JF-Expert Member Dec 31, 2010 885 60 Jan 28, 2011 #4 Angejinyonga tu kieleweke au angejiwekea plastic surgery ili tusimsumbue