kalichumbage
Senior Member
- Jul 5, 2015
- 101
- 41
Awsom kusema kweli Freeman Mbowe ni Professor wa siasa za Tanzania.Mbowe anajitambua na Mwenyezi Mungu kampa ujasiri na hali ya kutokata tamaa.
Mbowe yupo vzur cn n nwananapinduz wa ukwel kaifikisha chadema apa ilipo anatisha sana huyu jamaaa yale makengeza yamejaa ujanja ujanja
CHACHA WANGWE ALIKUFA CHAMA KIKAENDELEA KUWA IMARA
ZITO AKANUNULIWA CHAMA KIKAENDELEA KUWA IMARA
LIPUMBA AKASEPA UKAWA IKASIMAMA
AKASAJILI MESI
AMESAJIRI MARADONA
DAH!...hebu taja tukio moja na born town MBOWE ambalo limekufurahisha!!!
Wacha kumu attack,mkuu wewe mbona dental formula yako ni kama una undugu na ngiri bado watu tunakuheshimu?inakuwaje umshambulie mwenzako kwa maumbile yake?