Kama kweli unanipenda tukapime ukimwi

Kama kweli unanipenda tukapime ukimwi

Crucial b

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2015
Posts
276
Reaction score
110
Wanajamvi kama kawaida yangu mgeni nisiyekosa neno nimerudi tena na tafakuri hii,kutokana na kusalitiana na mahusiano mengi kulega lega sana hasa kwa vijana wa kileo a.k.a. Makeup boys siyo sahihi kweli kipimo mapenzi ya kweli kiwe kupima ukimwi kabla na baada ya kuanza mahusino tena mara kwa mara ukizingatia kitapunguza sana ttzo la watu kuchepuka kulikokithili na kusabisha magonjwa yanayoepukika,mimi ukinipenda au nikakupenda twende tukapime hakuna namna au ndo nitawakosa kabisa mabinti cjui vijana wenzangu imekaaje hapo maana tunajuana tulivyowabishi kupima ukimwi.mabinti kwanini hamuwakomalii watu wenu wapime?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom