Sijamaanisha kutembea tu kama kuna fursa nzuri kama hiyo mkuu naweza kwenda kusaka maisha maana hapa mjini pamebana kila kona hakuna hata gepu la kuchakachua mafuta kwenye magari mabosi wamekuwa wachumi ghafla wanalia njaa tu mjomba nae wa magogoni ndio kwanza anaiedit namba ili isomeke vizuri