Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 323
Kati ya Vijana wa CCM ambao wanaweza kuupata Urais mwaka 2030 bila kelele basi ni PhD Lameck Mwigulu Nchemba pekee yake!
PhD MWIGULU angekuwa na akili kubwa tayari ana ngazi ya kupandia kuelekea kuwa mteule wa CCM mwaka 2030 kuliko kijana yoyote ndani ya CCM kwa sasa!
Nakubaliana na yeye kwamba yeye ana PdD ya masuala ya Uchumi lakini PdD yake ndio imeendelea kumfanya kuwa mtu dhaifu sana kwenye Siasa na mizania ndani ya CCM kwa sasa.
Leo hii Mimi George Michael Uledi ukinipa Wizara ya Fedha na Mipango angalau kwa miaka mitatu uende ndio likawa daraja langu ya kuwashawishi wana CCM na Watanzania kuwa Mimi ndio mtu pekee sahihi ndani ya Chama cha Mapinduzi kwa mwaka 2030.
Kama Waziri wa fedha na Mipango bado hajaweza kuja na mipango ya maana ya miaka 20 mbele ya Taifa gani anataka Tanzania iwe ifikapo mwaka angalau 2035.Wajibu wa Mwigulu Nchemba sio kumsikiliza Rais pekee yake,Wajibu wake ni kumshawishi Mh RAIS na kuja na maono makubwa ya miaka 20 ya maendeleo ya Taifa!
Wizara ya Fedha na Miapngo kwa PhD Mwigulu Nchemba ndio kipimo cha uwezo wake kwa watanzania kwamba Je anaweza kutupeleka tunakotaka Watanzania kwa miaka 20-30 mbele?Hakuna mtu ambaye kama angekuwa na maono na akili kubwa ambaye angeweza kuukwaa ushika bendera ya Urais ndani ya CCM kama Mwigulu Nchemba!
Sijui kama ananielewa maana sio siri kuwa tamaa ya Waziri yoyote ni kesho apande na kuwa kwenye top list ya uongozi wa kitaifa!Kama Kaka yangu ana tamaa au maono hayo basi anaitaji aje Kyela Mbeya angalau nimwambie anawezaje kuwa katika nafasi nzuri ya kuwa candidate wetu kwa mwaka 2030 kwa kutumia uwaziri wake wa Fedha kwa usahihi na strategically kwa Watanzania!
Mpaka sasa Mwigulu alipaswa kupambana kuset mradi mkubwa wa mfano kwa Serikali ya awamu ya Sita na kwa maslahi ya mgombea wetu wa CCM Samia Suluhu Hassan mwaka 2025.Mpaka sasa MWIGULU hana mradi hata mmoja wa "demo" kwa kitaifa!Hana hana hana!
PhD Mwigulu Nchemba ana asilimia 40 tayari mkononi kama angetaka kutia timu kwenye mbio za Urais mwaka 2030 kama alivyofanya mwaka 2015 sema ni kama anakosa akili kubwa japo ana PhD ya Uchumi!
+255746726484.