maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,852
Quran 2-132Poleni na majukumu wakuu,. Kama heading inavosema apo kama kweli mungu yupo inabidi aniombe msamaha kwa sababu zifuatazo
Moja: Kama Mungu yupo yupo basi ni wazi kua yeye ndo alopanga maisha ya mwanadam kuanzia kuzaliwa mpaka kufa kwake, hivo basi ata aya magumu ninayopitia ni wazi alipanga yeye iwe hivi aniombe msamaha kwa hili
Mbili:kama kweli yupo basi ni yeye anaeruhusu watu wafe na wengine wazaliwe kwa maana iyo ni yeye ndo aliruhusu ndugu zangu nnaowapenda akiwemo my lovely mother afe, na kwanini aliruhusu afe wakati alijua kua mama angu ndo furaha yangu yeye ndo alienisabaishia hizuni mpaka leo na kwa hili ata aombe msamaha siwezi kumsamehe
Tatu:kwa nini amekua wa kujificha sana au hataki watu wake waujue ukweli kuhusu yeye ina maana mi nnavohangaika kutafuta dini ya kweli yeye hanioni ? aniombe msamaha kwa kweli
Vp mkuu we huna kinyongo na Allah ?Duuh.. Inalillah- wainnahlillah rajiunn..
Mkuu huyu Mungu muache tu nna kinyongo nae sanaMkuu umenichekesha sana duh.
Haya maisha yamekuwa magumu hadi vichwa vinawaza future impossible tense.
kwa iyo dhambi alotenda Adamu na mwenzake ndo inanihukumu hadi mimi?Mosi; Mwenyezi Mungu alikuumba wewe, na anajua kila kitu kuhusu wewe ila hajakupangia. Amekupa akili na utashi wa kutambua mema na mabaya na hivyo kufanya maamuzi sahihi.
Ukiona mambo hayaendi ujue huenda hautumii vizuri akili na utashi aliyokujalia. Lakini, kama kuna magumu unapitia, kwa kiasi kikubwa huenda ni matokeo ya dhambi; ukianza na ile ya wazazi wetu wa kwanza, Adam na Eva.
Pili; pole sana kwa kutokwa na mama. Lakini ujue tu kuwa kifo ni safari kutoka maisha ya hapa duniani kwenda maisha ya Milele huko Mbinguni. Hauna haja ya kumlaumu Mwenyezi Mungu kuhusu hilo. Yeye aliyepanga tuzaliwe kimwili, ndiye aliyepanga pia tufe kimwili, japo roho zetu zitaishi milele.
Tatu; Mwenyezi Mungu hajajificha. Amekuambia umtafute, nawe utamuona. Mwenyezi Mungu anajidhirisha kwetu kila siku. Mtafute, nawe utamuona.
Uwe na wakati mwema mkuu.
Kwa anayo nifanyia... Kama kweli yupo aniombe msamahaKweli maisha yamekua magumu,mpaka umeamua kumletea Mungu kwere ,akuombe msamaha!
Hiyo aya ipo tokea karine 6 umezaliwa umeikuta na utakufa utaiacha kuiami au kuto iamini ni ju yakohapo n mungu kasema ama ibrahimu ndo kasema
Ukishiba usimwonyeshe Mungu tumbo.Poleni na majukumu wakuu,. Kama heading inavosema apo kama kweli mungu yupo inabidi aniombe msamaha kwa sababu zifuatazo
Moja: Kama Mungu yupo yupo basi ni wazi kua yeye ndo alopanga maisha ya mwanadam kuanzia kuzaliwa mpaka kufa kwake, hivo basi ata aya magumu ninayopitia ni wazi alipanga yeye iwe hivi aniombe msamaha kwa hili
Mbili:kama kweli yupo basi ni yeye anaeruhusu watu wafe na wengine wazaliwe kwa maana iyo ni yeye ndo aliruhusu ndugu zangu nnaowapenda akiwemo my lovely mother afe, na kwanini aliruhusu afe wakati alijua kua mama angu ndo furaha yangu yeye ndo alienisabaishia hizuni mpaka leo na kwa hili ata aombe msamaha siwezi kumsamehe
Tatu:kwa nini amekua wa kujificha sana au hataki watu wake waujue ukweli kuhusu yeye ina maana mi nnavohangaika kutafuta dini ya kweli yeye hanioni ? aniombe msamaha kwa kweli
Ulikua ni mpango wa mungu kuwepo na shetani au Mungu alifeli katika mipango yake ndipo shetani akawepo?Mosi; Mwenyezi Mungu alikuumba wewe, na anajua kila kitu kuhusu wewe ila hajakupangia. Amekupa akili na utashi wa kutambua mema na mabaya na hivyo kufanya maamuzi sahihi.
Ukiona mambo hayaendi ujue huenda hautumii vizuri akili na utashi aliyokujalia. Lakini, kama kuna magumu unapitia, kwa kiasi kikubwa huenda ni matokeo ya dhambi; ukianza na ile ya wazazi wetu wa kwanza, Adam na Eva.
Pili; pole sana kwa kutokwa na mama. Lakini ujue tu kuwa kifo ni safari kutoka maisha ya hapa duniani kwenda maisha ya Milele huko Mbinguni. Hauna haja ya kumlaumu Mwenyezi Mungu kuhusu hilo. Yeye aliyepanga tuzaliwe kimwili, ndiye aliyepanga pia tufe kimwili, japo roho zetu zitaishi milele.
Tatu; Mwenyezi Mungu hajajificha. Amekuambia umtafute, nawe utamuona. Mwenyezi Mungu anajidhirisha kwetu kila siku. Mtafute, nawe utamuona.
Uwe na wakati mwema mkuu.
Mwambieni mzee baba alegeze kidogo maana hali ikiendelea hivi watu wote wanakuwa vichaa!Mkuu umenichekesha sana duh.