Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
CDM inamaliza mwaka sasa haijapata Katibu Mkuu baada ya kumfanyia uhuni Dr. Slaa na kumpuuza licha ya mchango wake mkubwa. Halafu eti ndio tungewapa Nchi hii wafanyie majaribio wakati hata ndani ya Chama hawana uzoefu wa kujiendesha!!! Msione aibu nendeni mkamuombe radhi Dr. Slaa atawasamehe ili muanze upya. ASANTE MUNGU KWA KUTUEPUSHA NA MATATIZO AMBAYO YANGETUKUMBA KAMA TUNGECHEZEA KAMARI KURA ZETU!