Kama kisiasa Israel ilitawaliwa na Rumi lakini Yerusalemu kuna Msikiti hakuna Kanisa maana yake Waislam ni Wayahudi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Ningependa FaizaFoxy, THE BIG SHOW, The Boss na Pohamba mnielimishe kwa kutulia kabisa Uhusiano wa Waislamu na Wayahudi

Naelewa hata mtume Muhammad SAW alipotaka kupaa mbinguni ilibidi aletwe na jibirii hadi Yerusalemu na Siyo Madina au Makka

Na hata makaburi ya Mayahudi na Waislamu yako katika Shamba la babu yake Yakobo ( Israel) yaani Nabii Ibrahim baba wa Imani

Nawaalika wote wenye uelewa wa jambo hili tuelimishane siku Hizi za mwisho

Nawatakia Dominica Njema 😄
 
Watakwambia waislam wameyabomoa.
Wanajua vizuri hawa isipokuwa ubishi usio miguu wala mikono
 
Tabia na tamaduni zoote za mitume tangu zamani ni za kiislam.
ndio maana waislam leo hii wanakwambia binadamu ote ni waislam, ila tu wamekuja kugengeuka kwa miaka hii ya kalibuni baada ya mzungu PAULO kuwaletea kitabu cha agano jipya ambacho kiasili kitabu hiki ndio kilicholeta usumbufu na tatizo kubwa kwa wanadamu wa leo, kitabia na kiutamaduni.

Kwa ufupi kitabu hiki hakikutakiwa kiwepo kabisa.kwasababu waandishi kwenye kitabu hiki wamemzungumzia kuzaliwa kwa yesu, na maisha ya familia tofauti.
Kama ni ufunuo ushaandikwa na DANIEL kwenye kitabu cha agano la kale.

Hivyo hadi leo hakuna hata zehebu moja la ukristo linalofuata utamaduni wa mitume wa zamani.ila waislam bado hawajatoka kwenye utamaduni wa mitume ukiangalia jinsi wanavyoendesha swala zao, uvaaji wao , wanavyoendesha familia zao nk.

Hivyo, jibu la swali lako, iwe muyahudi, iwe mwislam kama alifuata mitume wa zamani hao ni wamoja.
Sasa labda ujiulize wewe inakuaeje uanzishe huo unaouita ukristo ambao haufuati utamaduni oote wa mitume unayoitaja kwenye swala yako. Ujiulize sasa wewe unaabudu nini kwa misingi ipi kwa malengo ya kutafuta nini?

Kwa kuongezea tu.leo hii baba yako akiwa wa kuheshimika, kutokana na utamaduni wake, anavyovaa, anaishi na wenziwe nk.
Halafu wewe mtoto huishi na watu wengine kwa heshima kama alivyokua babayako, unafanya vitu hadi watu waliokuzunguuka kukushangaa kwa huyu mtoto ni tofauti na baba yake, ujue wewe umeshakengeuka.na kama bado hujui kama umekengeuka basi ujue unamatatizo makubwa na hata baba yako akikuona atakua radhi hata kukukataa au kukufukuza kwake.
Hivyo wewe kama unajiita mkristo na unafanya vitu tofauti na unaowaabudu basi ujitathimini sana.
Fanya utafiti kuhusu maisha ya mitume ote waliopita iwe islam au kristo au hata huo uyahudi.ukiona upo tofauti badilika maana hao mitume kunasiku watakukataa kwa kua hao hawajafanya kama unavyofanya.
 
Naona umeanza kujitoa akili,hekalu la wayahudi lilivunjwa katika utawala wa rumi 70 years baada ya kristo,kumbuka baada ya warumi zilikuja falme nyingi zilizotawala hapo middle east na nyingi zilikua chini ya dola za kiislam,hizo ndizo zilizo jenga huo msikiti kwenye misingi ya hekalu la wayahudi lililobomolewa. Soma historia.
 
Yerusalemu kuna Msikiti hakuna Kanisa maana yake Waislam ni Wayahudi?

Hebu pitia hapa upate mwangaza;

Luka 4:16
Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake.

Sunagogi ni misikiti ya Wayahudi.
 
Ukristo ulijengwa juu ya Mafundisho ya Yesu kristo ambayo ni utimilifu wa torati na manabii.

Mtume Paulo kabla ya kuipokea injili alikua ni Myahudi aliye mstari wa mbele kuua na kuangamiza wakristo,alipopata wokovu akabatizwa kutoka jina la sauli na kuitwa Paulo na ndiye mtume aliyeandika na kueneza ukristo ulimwenguni.

Soma historia hiyo katika kitabu cha matendo ya mitume acha upotoshaji.

Uyahudi ulizaa ukristo,uislamu umetokana na mudi ndiye muislamu wa kwanza,ili kupata uhalali shetani(alla) baba wa uongo aliingiza historia za mitume na manabii wa kiyahudi na kujitungia uongo mwingi ili kuupatia uhalali kuwa uislam umetokana na ibrahimu.

Uislam ni ukafiri na ushetani hili liko wazi ki historia na kimatendo.
 
Yerusalemu kuna Msikiti hakuna Kanisa maana yake Waislam ni Wayahudi?

Hebu pitia hapa upate mwangaza;

Luka 4:16
Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake.

Sunagogi ni misikiti ya Wayahudi.

Walio tafsiri biblia walikua waswahili hata neno mashehe utalikuta kwenye biblia.
 
Tabia na tamaduni zoote za mitume tangu zamani ni za kiislam.
ndio maana waislam leo hii wanakwambia binadamu ote ni waislam, ila tu wamekuja kugengeuka kwa miaka hii ya kalibuni baada ya mzungu PAULO kuwaletea kitabu cha agano jipya ambacho kiasili kitabu hiki ndio kilicholeta usumbufu na tatizo kubwa kwa wanadamu wa leo, kitabia na kiutamaduni.

Kwa ufupi kitabu hiki hakikutakiwa kiwepo kabisa.kwasababu waandishi kwenye kitabu hiki wamemzungumzia kuzaliwa kwa yesu, na maisha ya familia tofauti.
Kama ni ufunuo ushaandikwa na DANIEL kwenye kitabu cha agano la kale.

Hivyo hadi leo hakuna hata zehebu moja la ukristo linalofuata utamaduni wa mitume wa zamani.ila waislam bado hawajatoka kwenye utamaduni wa mitume ukiangalia jinsi wanavyoendesha swala zao, uvaaji wao , wanavyoendesha familia zao nk.

Hivyo, jibu la swali lako, iwe muyahudi, iwe mwislam kama alifuata mitume wa zamani hao ni wamoja.
Sasa labda ujiulize wewe inakuaeje uanzishe huo unaouita ukristo ambao haufuati utamaduni oote wa mitume unayoitaja kwenye swala yako. Ujiulize sasa wewe unaabudu nini kwa misingi ipi kwa malengo ya kutafuta nini?

Kwa kuongezea tu.leo hii baba yako akiwa wa kuheshimika, kutokana na utamaduni wake, anavyovaa, anaishi na wenziwe nk.
Halafu wewe mtoto huishi na watu wengine kwa heshima kama alivyokua babayako, unafanya vitu hadi watu waliokuzunguuka kukushangaa kwa huyu mtoto ni tofauti na baba yake, ujue wewe umeshakengeuka.na kama bado hujui kama umekengeuka basi ujue unamatatizo makubwa na hata baba yako akikuona atakua radhi hata kukukataa au kukufukuza kwake.
Hivyo wewe kama unajiita mkristo na unafanya vitu tofauti na unaowaabudu basi ujitathimini sana.
Fanya utafiti kuhusu maisha ya mitume ote waliopita iwe islam au kristo au hata huo uyahudi.ukiona upo tofauti badilika maana hao mitume kunasiku watakukataa kwa kua hao hawajafanya kama unavyofanya.
Ahsante sana nimeelewa vizuri sana Hata ile ramani ya kale
 
Huyo paulo ni mzungu msanii tu.
Hii tabia alioifanya paulo ya kusema alikua jambazi baadae ndio kaokoka ndio tabia inaendelea hadi leo kwa wachungaji matapeli.
Kama huamini mfuate mchungaji aliekalibu yako muulize alikuaje hadi upo hapo. Atakwambia nilitokewa na yesu sijui wapi.utapeli uleule wa pauli upo hadi leo.na ukumbuke kitabu cha agano jipya ni cha paulo.
Hiki kitabu ni kitabu kilitengenezwa makusudi na wazungu ili kuvuruga mifumo na tamaduni za watu wengine.
 
Naona umeanza kujitoa akili,hekalu la wayahudi lilivunjwa katika utawala wa rumi 70 years baada ya kristo,kumbuka baada ya warumi zilikuja falme nyingi zilizotawala hapo middle east na nyingi zilikua chini ya dola za kiislam,hizo ndizo zilizo jenga huo msikiti kwenye misingi ya hekalu la wayahudi lililobomolewa. Soma historia.
Kwahiyo Waislamu siyo Wayahudi?
 
Yerusalemu kuna Msikiti hakuna Kanisa maana yake Waislam ni Wayahudi?

Hebu pitia hapa upate mwangaza;

Luka 4:16
Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi kama ilivyokuwa desturi yake.

Sunagogi ni misikiti ya Wayahudi.
Kanisa lilikuja baada ya Yesu kupaa mbinguni?
 
Huyo paulo ni mzungu msanii tu.
Hii tabia alioifanya paulo ya kusema alikua jambazi baadae ndio kaokoka ndio tabia inaendelea hadi leo kwa wachungaji matapeli.
Kama huamini mfuate mchungaji aliekalibu yako muulize alikuaje hadi upo hapo. Atakwambia nilitokewa na yesu sijui wapi.utapeli uleule wa pauli upo hadi leo.na ukumbuke kitabu cha agano jipya ni cha paulo.
Hiki kitabu ni kitabu kilitengenezwa makusudi na wazungu ili kuvuruga mifumo na tamaduni za watu wengine.

Tupe ushahidi huo.
 
Ni kweli Mitume Wengi wa hapa Bongo wanadai walikuwaga Majambazi 😂😂
 
Back
Top Bottom