Kama Jengo la TANESCO Likibomolewa basi na Millenium towers pale k'nyama ziondoke

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Wabongo tumeshikia bango ofisi za TANESCO ambazo kimtazamo angalau zipo mbali na Barabara kiasi kwamba haziathiri shughuli mbalimbali. Mbona Hamshikii bango jengo la millenium towers lililopo kijitonyama karibu na Break Point? Hili jengo mbali na kuingia barabarani, lipo kwenye eneo la wazi! eneo hillo ni kwa ajili ya bustani za kupumzikia watu wanaotembelea kijiji cha makumbusho.
JE, HILO GHOROFA ZUUURI LIENDE CHINI? KUNA JINGINE LINAENDELA KUJENGWA LITAKUWA NA REFU SANA, JE, NALO LIPIGWE STOP?
Toa maoni................
 
Yeah, pull them down.
Vinginevyvo upanuzi utafanyika wapi?
Waliopitisha ujenzi wa majengo hayo wawajibishwe
 
unajua watu wanashindwa kuelewa thamani ya barabara! it suprass any building that lies aside! maana tusiangalie thamani yake kwa fedha zitumikazo kuijenga tu! tuangalie uwezekano wa barabara hiyo kupitisha watu kiufanisi na jinsi itakavyosaidia uchumi!
 
Yeah, pull them down.
Vinginevyvo upanuzi utafanyika wapi?
Waliopitisha ujenzi wa majengo hayo wawajibishwe

Mkuu nlimaanisha kwamba Millenium Towers ipo ndani ya barabara ya ali Mwinyi kwa upande mmoja na upande usio wa barabara ipo kwenye eneo la wazi kwa ajili ya bustani.
 
Back
Top Bottom