Sawa Zurie keleleUjumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kila kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele
😂😂Kelele nazopenda ni zile za kitandani...
Jamani wa..waa...wakiiiip... Wakipe.. aaaaai... Wakipek....asssiiiii.... Niiiaa...Ch...wewe wakipekeeee unajua
Hata hii thread ni kelele tupu. Sijui na JF tusiwe tunaingia...
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha,sawa sawaHizi nazo kelele tu,Bora ungekaa kimya.
Hahahahaha,ngoja tukuache na kelele zakoSiwezi. Kukaa kimya siwezi kabisa, bora uniue.
Mke usiye na kelele na bado unasema wanawake ninyi ni wapiga kelele,unatudanganyaaa!🤣Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana, tunapush idea zetu kila kukicha. Hutaki Acha.
Kila mwanaume kelele kelele, oh nachepuka kuepuka kelele, ooh nimemuacha kisa kelele, ooh nalewa hadi saa 9 kuepuka kelele. Kelele ni kama Pi, yaani constant kama hutaki wewe piga usepe, nunua uchape lodge urudi kwako.
Ndimi mke asiye na kelele
Inasemekana wanawake huwa Wana "uchizi"...ikitokea ukiwakamata lazima mgombane.....
Itokee unafanya kazi ofisi imejaa wanawake lazima utagundua kuna siku wananuna bila sababu....au mnapigizana kelele bila sababu

piga usepe, Nunua uchape Aisee umempa ruksa kabisaUjumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!