Ewe kaka au dada kama haukuwa tayari kuachana na ubachela wako ulikimbilia kuoa au kuolewa ili nini? Huoni umekimbilia tu kumuumiza mwenzako? Angalia unavyoishi maisha ya kibachela kwenye ndoa, hujulikani umekua au bado mtoto, hata maamuzi yanakushinda kufanya.
Sasa utaitwaje baba au mama kwa hali hiyo? Utakuwaje mfano wa kuigwa kwa watoto wako wakati bado haujapevuka, mwenzako ameingia kwenye ndoa akimaanisha kuishi kama mke au mume kumbe wewe bado haujafanya maamuzi yakinifu ya nini unataka, hivi haujui kuwa familia ni jukumu wala sio cheo? Kwani ulilazimishwa kuoa au kuolewa ?Au ulifuata mkumbo?
ijumaa kareeeem