Kama Fiston Mayele ametupiwa jini akiwa huko nna uhakika wachezaji wote wa Simba wametupiwa majini

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Simba angalieni sana hili jambo, uwanja wa Bunju una majini, chamazi complex kuna jini, wachezaji wametupiwa majini, viongozi wametupiwa majini, makocha wametupiwa majini had sisi mashabiki kasoro mm tu mshirikina namba moja hawaniwezi hata wafanye nn.

Mchezaji Saido Ntibazonkiza ni very asset ktk timu yetu, jamàa anajua sana boli, ana nguvu na sifa zote lkn Ntibazonkiza huyu wa Simba simuoni kabisa kabisa akionyesha ubora wake,

Naamin Ntibazonkiza ametupiwa jini, Simba shughulikieni hili
 
🤣🤣
Majini FC wanasemaje kwani
Yanga Fc aka Majini FC🤣🤣🤣

Naona wameandaa mabanda ya kufugia Kwenye Uwanja mpya..

Chonde chonde tunawapenda wachezaji wazawa wahakikishe wasitupiwe 😅😅
 
Lete screenshot
20240212_120330.jpg
 
Simba angalieni sana hili jambo, uwanja wa Bunju una majini, chamazi complex kuna jini, wachezaji wametupiwa majini, viongozi wametupiwa majini, makocha wametupiwa majini had sisi mashabiki kasoro mm tu mshirikina namba moja hawaniwezi hata wafanye nn.

Mchezaji Saido Ntibazonkiza ni very asset ktk timu yetu, jamàa anajua sana boli, ana nguvu na sifa zote lkn Ntibazonkiza huyu wa Simba simuoni kabisa kabisa akionyesha ubora wake,

Naamin Ntibazonkiza ametupiwa jini, Simba shughulikieni hili
Hilo la Ntibazonkiza na mimi niliwahi kuliwaza kitambo sana maana zile anguka zake kwa kweli siyo za kawaida na ndiyo sababu iliyofanya niache kumuongelea na hata issue za kina Baleke kushindwa kuperform hadi kuondoka nikaamua ku mute.

Binafsi baada ya Mapinduzi Cup nilishaamua siangalii mpira sasa hivi wa bongo. Naweza kupitia highlights tu baasi
 
Back
Top Bottom