njamayo
Senior Member
- Jan 6, 2012
- 150
- 42
WanaJF,
Nimekuwa najiuliza kuwa kama hizi nyaraka za Muungano hazipo na imekuwa mazingaombwe kuzitoa hata kwa shuguli mhimu kama ya kuandika kwa katiba mpya, JE ZANZIBAR ikijitoa kwenye huu Muungano, itakuwaje?. Je Tanganyika itaenda wapi kushitaki kuwa Zanzibar imevunja Muungano ambao hata nyaraka hazipo? Aaafu hizi nyaraka mbona inaonekana ni kuwa kama vile zilikuwa za upande mmoja tu yaani Tanganyika, na Zanzibar hawakupewa chochote.. Hebu nisaidieni nyie wanaJF ktk hili.