MARA ZOTE UTASIKIA CCM WAKIJINADI KUWA WANANCHI BADO WANA IMANI NA CHAMA HICHO. KAMA NI KWELI KITU GANI KINAWAOGOPESHA KUWEPO KWA TUME HURU YA UCHAGUZI? KAMA KWELI WANAAMINI NI WANANCHI WANAOWACHUGUA MBONA WAMEKUWA WAKITUMIA NGUVU YA DOLA KUTENGENEZA MATOKEO? HIVI CCM WANAWEZAJE KUJISIFIA KWAMBA WANANCHI WANAWACHAGUA WAKATI TUME YA UCHAGUZI INAKUWA IMETEULIWA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHAO? SIAMINI KAMA SIMBA NA YANGA WANAPOPAMBANA HALAFU REFA AWE KUTOKA MOJA YA TIMU HIZO KUTAKUWEPO USHINDI WA HALALI.
NAAMINI KAMA TUME YA UCHAGUZI INGEKUWA HURU KWA UCHAGUZI ULIOPITA CCM WANGEPATA SI ZAIDI YA ALIMIA 30 KUANZI UDIWANI HADI URAIS MAANA WANANCHI WALIWAKATAA KABISA ILA GOLI LIMELAZIMISHWA NA REFA.
JUST READ MY TOPIC AND DISCUSS IT, DON'T PANIC.YOU SHALL KNOW THE TRUTH AND THE TRUTH SHALL SET YOU FREE