Kama CCM ni ile ile, jee vyama vingine vya siasa si vile vile?

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
5,060
4,501
Katika kampeni zake CCM huwa inajitambulisha kwa wananchi kikiimba kuwa ni kile kile na kwamba wapinzani wataisoma namba!

Sasa kinaposhinda na kuanza kuongoza serikali, vyama pinzani huanza kulalamika - si mnaona mliambiwa CCM ni ile ile ....... Huwa nashindwa kuelewa, hivyo vyama vingine huwa siyo vile vile au vipi?
 
Ina maana makosa na uzembe ule ule unaendelea hats ikiwa awamu ya hamsini
 
Back
Top Bottom