pilikapilika2013
Member
- May 19, 2023
- 23
- 55
Leta ushahidiNdugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi,
Ninapenda kuanika ufisadi mkubwa unaofanywa na Medical officer incharge bwana Charles conorady ktk idara tofauti tofauti.
Mosi, anawalipa watumishi extra duty ya 15 elfu wakati Mwongozo wa wizara ni 40 na anatamba kuwa hakuna wa kumgusa.
Pili, baadhi ya haki za Watumishi kama vyakula na posho kwenye kikao havitolewi, lakini ukifatilia unagundua alishatoa pesa kwa ajili ya matukio hayo.
Tatu, Haelewani na Watumishi karibu wote na hataki kuitisha kikao na Watumishi maana anajua kabisa juu ya maovu aliyoyafanya, Tafadhal Waziri Ummy na wa Tamisemi mtusaidie Kaliua District hospital na Watumishi kwa ujumla.
Nawasilisha
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Peleka malalamiko yako kwa mkuu wa wilaya, haraka.Ndugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi,
Ninapenda kuanika ufisadi mkubwa unaofanywa na Medical officer incharge bwana Charles conorady ktk idara tofauti tofauti.
Mosi, anawalipa watumishi extra duty ya 15 elfu wakati Mwongozo wa wizara ni 40 na anatamba kuwa hakuna wa kumgusa.
Pili, baadhi ya haki za Watumishi kama vyakula na posho kwenye kikao havitolewi, lakini ukifatilia unagundua alishatoa pesa kwa ajili ya matukio hayo.
Tatu, Haelewani na Watumishi karibu wote na hataki kuitisha kikao na Watumishi maana anajua kabisa juu ya maovu aliyoyafanya, Tafadhal Waziri Ummy na wa Tamisemi mtusaidie Kaliua District hospital na Watumishi kwa ujumla.
Nawasilisha
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
pumbavu zemi.... wananchi wakilalamika mbona huwa hamuwa sikilizi.... mkuki kwa nguruwe...Ndugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi,
Ninapenda kuanika ufisadi mkubwa unaofanywa na Medical officer incharge bwana Charles conorady ktk idara tofauti tofauti.
Mosi, anawalipa watumishi extra duty ya 15 elfu wakati Mwongozo wa wizara ni 40 na anatamba kuwa hakuna wa kumgusa.
Pili, baadhi ya haki za Watumishi kama vyakula na posho kwenye kikao havitolewi, lakini ukifatilia unagundua alishatoa pesa kwa ajili ya matukio hayo.
Tatu, Haelewani na Watumishi karibu wote na hataki kuitisha kikao na Watumishi maana anajua kabisa juu ya maovu aliyoyafanya, Tafadhal Waziri Ummy na wa Tamisemi mtusaidie Kaliua District hospital na Watumishi kwa ujumla.
Nawasilisha
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Matokeo ya kufanya kazi kihuni huni bila kufuata policies au sheria za kazi, CEO yeye na mlipa mishahara yeye utafikiri hakuna finance/ payroll department, kwa wanaojitambua finance/payroll department haiwezi kumkata mtu mshahara au bonus yake kwa maneno ya CEO tuuYaani mwongozo mlipwe elfu 40,000 yeye anawalipa elfu 15,000.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama unaogopa kujulikana andika barua ya malalamiko badili mwandiko alafu barua katumbukize kwenye sanduku la maoni la kwa mkuu wa wilaya hata kwa mkuu wa mkoa, au nenda peleka barua kwa ps vaa miushungi ili wasikujue Kuna makamera kamera, au tumbukiza posta hizo barua za malalamiko.Ndugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi,
Ninapenda kuanika ufisadi mkubwa unaofanywa na Medical officer incharge bwana Charles conorady ktk idara tofauti tofauti.
Mosi, anawalipa watumishi extra duty ya 15 elfu wakati Mwongozo wa wizara ni 40 na anatamba kuwa hakuna wa kumgusa.
Pili, baadhi ya haki za Watumishi kama vyakula na posho kwenye kikao havitolewi, lakini ukifatilia unagundua alishatoa pesa kwa ajili ya matukio hayo.
Tatu, Haelewani na Watumishi karibu wote na hataki kuitisha kikao na Watumishi maana anajua kabisa juu ya maovu aliyoyafanya, Tafadhal Waziri Ummy na wa Tamisemi mtusaidie Kaliua District hospital na Watumishi kwa ujumla.
Nawasilisha
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hatari sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matokeo ya kufanya kazi kihuni huni bila kufuata policies au sheria za kazi, CEO yeye na mlipa mishahara yeye utafikiri hakuna finance/ payroll department, kwa wanaojitambua finance/payroll department haiwezi kumkata mtu mshahara au bonus yake kwa maneno ya CEO tuu
Ndugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi,
Ninapenda kuanika ufisadi mkubwa unaofanywa na Medical officer incharge bwana Charles conorady ktk idara tofauti tofauti.
Mosi, anawalipa watumishi extra duty ya 15 elfu wakati Mwongozo wa wizara ni 40 na anatamba kuwa hakuna wa kumgusa.
Pili, baadhi ya haki za Watumishi kama vyakula na posho kwenye kikao havitolewi, lakini ukifatilia unagundua alishatoa pesa kwa ajili ya matukio hayo.
Tatu, Haelewani na Watumishi karibu wote na hataki kuitisha kikao na Watumishi maana anajua kabisa juu ya maovu aliyoyafanya, Tafadhal Waziri Ummy na wa Tamisemi mtusaidie Kaliua District hospital na Watumishi kwa ujumla.
Nawasilisha
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ushahidi utakuja ikishachunguzwa kama alivyoomba mleta mada.Leta ushahidi
Waanze na muhasibu sio kukurupuka na incharges, unazingua.Kuna vitu haviko Sawa kwenye post yako.
Hizo posho za elfu 15,000 wa kulalamikiwa anapaswa kuwa ofisi ya uhasibu hapo hospital maana ndio inayoverify malipo au Cashier. Huyo unayemlalamikia hapa inawezekana kaangalia bajet ya hospital Kwa mwaka akaona akilipa 40 basi hata January haifik fungu litakuwa limekata.
Pili unasema chakula na posho za vikao havitolewi then hapo hapo unasema hataki kuitisha vikao. Umenichanganya
Wizara ya Afya Tanzania mje huku kuna fisadi anatesa watumishiNdugu Wana jf, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na ofisi ya rais Tamisemi,