Kalimba, Kada wa CCM afunguka. Aeleza wazi kutoridhishwa na mwenendo wa mwenyekiti wake!

Hapa juzi kati tulikuwa na MTU anachekacheka, kilichotokea wote tuliona hadi twiga akakwea pipa huyoooo Arabuni. Sasa tumepata bulldozer mnaanza kulialia!
Tulia dawa ituingie.
[HASHTAG]#kilamwakatanzaniakunanjaa[/HASHTAG]
Sawa kabisa wewe takwimu za kila mwaka.kuna njaa umezitoa wapi wakati mkuu hakubali hilo ? issue yake ni fix tu ila kuna maeneo anafanya kazi vizuri kila binadamu ana mapungufu basi na yeye asiogope kurekebishwa
 
Kweli shule inatakiwa, hii ni hatare kwa watu kutoweza elewa cha kusema ni bora kunyamaza
Kwa usomi wewe huwezi kunishinda hapa nilipofikia. Jikusanye kwenye familia yenu na ukoo wenu wote hamuwezi kunifikia.
 
Hiyo imesha kuwa misemo mliyo ikalili kila mara mafisadi ,wapiga dili hamna hoja nyingine mmekalili hilohilo na hamjielewi ,tunacho anhaliwa uchumi wetu unaelekea wapi je! Unakua au unashuka au umebaki palepale ? Hizo hoja zenu mlizo mezeshwa na ninyi mmemeza kama mazuzu mmekuwa vipofu hata wa kutafakari mambo yaliyo wazi hamuwezi, mmekalia kila siku mafisadi ,wapiga dili hoja ambazo msimu wake ulisha pita kitambo , hizi ni dalili kwamba akili zenu zimelala fofofo yaani zimeganda mnasubiri kauli mbiu itoke muing'ang'anie hiyo hiyo hadi itoke nyingine.

Wewe ngumbaru ndio utufundishe uchumi wewe, are you serious? Smell the coffee first before coming here to preach your ignorance.
 
Wewe ngumbaru ndio utufundishe uchumi wewe, are you serious? Smell the coffee first before coming here to preach your ignorance.
Hahahaaa! Pole sana mkuu wewe ni mjinga tu haijalishi lugha gani utaitumia kutaka kupoteza ujinga wako ,lakini wewe ni mjinga tuuu, na ujinga wako unathihirishwa na post yako hiyo hapo chini, eti msomi! Unazijua ethics za wasomi wewe?? Kwa akili yako mbovu hiyo isiyo jua kufikiri kweli ndio unajiita msomi??msomi wa nini wewe?ptuuuuu! Wasomi wa sikuhizi laana tupu, Kweli zuzu ni zuzu tuuu! Hebu ona uzuzu wako hapo chini,
Kwa usomi wewe huwezi kunishinda hapa nilipofikia. Jikusanye kwenye familia yenu na ukoo wenu wote hamuwezi kunifikia.
 
Hahahaaa! Pole sana mkuu wewe ni mjinga tu haijalishi lugha gani utaitumia kutaka kupoteza ujinga wako ,lakini wewe ni mjinga tuuu, na ujinga wako unathihirishwa na post yako hiyo hapo chini, eti msomi! Unazijua ethics za wasomi wewe?? Kwa akili yako mbovu hiyo isiyo jua kufikiri kweli ndio unajiita msomi??msomi wa nini wewe?ptuuuuu! Wasomi wa sikuhizi laana tupu, Kweli zuzu ni zuzu tuuu! Hebu ona uzuzu wako hapo chini,
Eti wasomi wa siku hizi wewe msomi wa siku zipi! Phew! Pumba tupu. Nenda kalishabikie Jambazi Sugu mlilouziwa kwenye gunia. That's what you know.
 
Eti wasomi wa siku hizi wewe msomi wa siku zipi! Phew! Pumba tupu. Nenda kalishabikie Jambazi Sugu mlilouziwa kwenye gunia. That's what you know.
Upumbavu na ujinga pia ni kipaji hahahaaaaa eti msomi! Msomi anae jipendekeza asiye tumia akili kama wewe looo!!huna hata uwezo wa kuchambua mambo wewe akili ndogo sana wewe ndi kusikia nani kasema nini nawe unaunga hapo hapo kusahbikia kama mkia na mbwa mwenye nao ,eti unajiita msomi!! Labda kama umeishia darasa la kwanza c, maana sifa za usomi huna hata moja.
 
Then
 
Mtakatifu Pogba ana nia ni njema ila mkakati ndo hovyo kabisa.. full uch/wara
 
Hiyo inaitwa ntoke vipi! Kalimba kaona hana pa kutokea akaamua kuokoteza jalalani. CCM ina mfumo wake mzuri wa kutoa mawazo na kushauri sio hii ntoke vp
 
Alipokosea ni kusema kwa faida ya chama chetu. Ni aibu kubwa kwa mwenye akili timamu kufikiria faida ya ccm badala ya watz. Anajaribu jaribi lkn bado hajajiweka km yeye ni mtz au anaweza kuwa mtz. Kutaja tu ccm umeharibu kabisa maana ww huna maslahi kwa taifa. Tuna majeraha mengi yatokanayo na ccm ukianzia kupora ushindi wa wazi na wa kishindo kule zanzibar...
Yeye anazungumzia chama chake, ni sawa tu kusema hivyo.
 
Kilimba ndiyo cheo gani ndani ya CCM, mimi nilifikiri ni kibanda cha kupigia ramli ya wanaCCM wanaoshinda kwenye kura za maoni.
 
Back
Top Bottom