Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Sep 19, 2013 #1 Jana nilikuwa msibani wadau... huu msiba jamaa alikunywa sumu.... sasa kabla hawajamzika ndo waktangaza kama kuna anayemdai marehemu aje wamlipe. Kuna jamaa mmoja alijitokeza na kudai kuwa sumu aliyokunywa alikuwa amekopa kwake na anataka hela yake irudishwe coz ndio faida yenyewe
Jana nilikuwa msibani wadau... huu msiba jamaa alikunywa sumu.... sasa kabla hawajamzika ndo waktangaza kama kuna anayemdai marehemu aje wamlipe. Kuna jamaa mmoja alijitokeza na kudai kuwa sumu aliyokunywa alikuwa amekopa kwake na anataka hela yake irudishwe coz ndio faida yenyewe
Y young frezy New Member Joined Sep 18, 2013 Posts 4 Reaction score 1 Sep 19, 2013 #2 Hahahahaha ametisha..,...., ...,
Mr. Marangu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2013 Posts 1,574 Reaction score 1,595 Sep 19, 2013 #3 mh kweli mjanga hay!
O Omnibus JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 203 Reaction score 39 Sep 19, 2013 #4 :yell::yell::yell::yell::yell:
MESTOD JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 4,798 Reaction score 2,010 Sep 19, 2013 #5 Dah, kwani alishawahi kuionja na kuona ubora wake?
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,378 Sep 19, 2013 #6 MESTOD said: Dah, kwani alishawahi kuionja na kuona ubora wake? Click to expand... Kwanini aionje, si uthibitisho tayari jamaa amekata kamba kwa kuionja? Wamlipe tu pesa zake.
MESTOD said: Dah, kwani alishawahi kuionja na kuona ubora wake? Click to expand... Kwanini aionje, si uthibitisho tayari jamaa amekata kamba kwa kuionja? Wamlipe tu pesa zake.
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Sep 20, 2013 #7 Searching...100% Loading...100% Network Connected ! Near by Makunguru International school Mbeya.