Msibeze na kudharau strategy za maccm. Wamehairisha baada ya kuona vuguvugu la jana hawaliwezi. Hizi mbinu za kivita, kurudi nyuma si kushindwa. Wanasoma mchezo.
Niwaombe cdm wahakikishe kila wanayeongea naye/ hata kama ni umati wawe wapiga kura. Si vibaya kuwaandaa wote hata uchaguzi ujao lakini cha msingi hapa ni numbers of voters. Hii miccm inaweza isipige hata campaign..badala yake ikaesabu wapiga kura kalenga kwa kushirikiana na tume ikaanza kuwatembelea hao. Miccm haitaki kubahatisha. Sikudhani maccm yanawapiga kura sombetini!
CDM be strategic than ever! Tunalihitaji hilo jimbo. Kitendo cha kumweka mama kama mgombea ni ushindi tayari dhidi ya huyo mkamerooni ( ninamaana ya raia mwingereza).
Kitakacho waangusha chadema ni historia mbaya ya ufusika ya mgombea wao
Chadema ikishinda Kalenga basi mimi si mpogolo. Iringa ni ngome kubwa sana ya CCM.
CCm wameshaufa ni wanasubiri tu ratiba ya mazishi.Utagundua kuwa chaguzi zote
za hivi karibuni,CCM hawajawahi zindua kampeni kabla ya chadema.Huwa wanasubiri
wapime upepo kwa chadema ili wajue ni malori mangapi yatatosha kubeba watu wa
kujaza mikutano yao.
Watanzania wa leo si wa
miaka ya 80! Hawadanganyiki kwa pilau wala kanga.....si unacheki
mwenyewe!......chopa 3 kata 3!
kweli kabisa fundisho zuri inawezesha watu kujua kilo ngapi za sukari ,chumvi ,kanga na t-shirt ngapi zinatumika na kwa jinsi hiyo hawawezi kuachia wakala bila kunawa lazima wakabweWatanzania wa leo si wa miaka ya 80! Hawadanganyiki kwa pilau wala kanga.....si unacheki mwenyewe!......chopa 3 kata 3!
Huyu huyu anaesemekana kula pesa ya mjane au mwingine? Hahaha wanachekesha sana.CCM wameshindwa KUZINDUA kampeni leo, eti wanasubiria mpaka Chris Lukosi afike kwani ndio mgeni rasmi wao........
gongo utaacha lini kunywa?Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Kalenga kutabiri mshindi wa uchaguzi mkuu 2015, watafiti wa maswala ya kisiasa wana sema, jimbo la Kalenga limebeba sura halisi ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu kulingana na historia ya mabadiliko ya nchi yetu.
Endapo CCM itashinda jimbo hilo, basi itakuwa na nafasi ya kuibuka mshindi uchaguzi mkuu 2015, vinginevyo CHADEMA itakuwa inaingi Ikulu.
Hali ilivyo sasa ni kwamba, kundi la watu mashuhuri kama maChief na wazee wameonekana kuiunga mkono CDM jambo ambalo sio la kawaida na hivyo limeleta hofu kubwa kwa CCM na kuwafanya hata wao kutokukubaliana jinsi ya kukabiliana na vuguvugu la mabadiliko linloonekana kuwa tishio kubwa...
HAKIKA TANZANIA IMEAMKA...
gongo utaacha lini kunywa?