mwanza_kwetu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 693
- 182
Hata hivyo kwa wanaCCM wa jimbo la Kalenga kwa kukishauri chama kisimruhusu Nape Knawie(AKA) domo kaya ,vuvuzela mropokaji) ashiriki katika kampeni hizo kunaonyesha jinsi CCM ilivyojizatiti kurudisha jimbo hilo ndani ya himaya yake.
Chopa 3, kata 3.
Chadema ikishinda Kalenga basi mimi si mpogolo. Iringa ni ngome kubwa sana ya CCM.
msibeze na kudharau strategy za maccm. Wamehairisha baada ya kuona vuguvugu la jana hawaliwezi. Hizi mbinu za kivita, kurudi nyuma si kushindwa. Wanasoma mchezo.
Niwaombe cdm wahakikishe kila wanayeongea naye/ hata kama ni umati wawe wapiga kura. Si vibaya kuwaandaa wote hata uchaguzi ujao lakini cha msingi hapa ni numbers of voters. Hii miccm inaweza isipige hata campaign..badala yake ikaesabu wapiga kura kalenga kwa kushirikiana na tume ikaanza kuwatembelea hao. Miccm haitaki kubahatisha. Sikudhani maccm yanawapiga kura sombetini!
Cdm be strategic than ever! Tunalihitaji hilo jimbo. Kitendo cha kumweka mama kama mgombea ni ushindi tayari dhidi ya huyo mkamerooni ( ninamaana ya raia mwingereza).
Ha haaa haaa haaa!!! chadema ikishinda Kalenga mi Nahama hii nchi,Watanzania walishajua kwamba nyinyi ni wahuni tu wala hamna sera wala hoja zaid ya fujo! Mshaurini mwenyekiti wenu akasome kwanza!!
Tangu muache na vijana wasomi,dr.mkumbo,zitto na baadae prof.baregu naye kuwapa kisogo katika ushauri ,-chadema limegeuka kuwa genge la watabiri na wapiga ramli wa kisiasa,what do you expect from,lema,msigwa,sugu,dogo janja nasary,eti hili ndilo kundi washauri wa mbowe including joyce muky,halafu changanya akili ya josphine mushumbuzi plus padri slaa,unambiye jina la hiyo kachumbari ya ubongo ,kalenga chadema itaanguka,na sasa baraza kuu la taifa litakaa kudai mabadiliko ya uongozi,maana tayari naibu katibu mkuu ameambulia kushindwa kata ya jimboni kwake,huku akiacha hoja za kushindwa na kujikita kutafuta huruma za kijinga,sasa kalenga itarudi ccm,msigwa tafuta pa kujificha.
Kitakacho waangusha chadema ni historia mbaya ya ufusika ya mgombea wao
Chadema ikishinda Kalenga basi mimi si mpogolo. Iringa ni ngome kubwa sana ya CCM.