utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Mkuu bado kazi yako pale bavicha ni ileile au ?Wee kaweka kakopo kwako alikokuachia Kawawa ......
Ndio , ile niliyokufanyia majaribio sio? Ambayo Mugabe kaitangaza rasmi kwa Obama ? Nai kumbuka sana siku ile uko maeneo gani nije na leo plse?Mkuu bado kazi yako pale bavicha ni ileile au ?
Kama wataichagua ccm HATA wakimsimamisha nani hapo ni lazima tutilia mashaka uelewa wao maana ni kwamba hata ccm waweke jambazi litapita tu! hilo siyo jambo la kujivunia. ukichunguza sana KUTO KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA NI TATIZO,VILIBA VYA KUPEMBULIA MAMBO ILI WAIJUE KWELI HAWANA.Wenzetu hatua hiyo walisha pita zamaaani kweli na ndio maana wako pale.Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.
my take. Hongera wana kalenga
Ni kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.
my take. Hongera wana kalenga
Tatizo ni huu uhuru wa kupost...... hata wendawazimu sasa mnaweza kupost chochoteNi kauli ya Vijana,wazee na kina mama maeneo mbalimbali ya kalenga. Wanasema ccm haina mpinzani, haina wa kuiyumbisha, watawasikiliza,watawatafakari,watacheka nao lakini hawatawapa kura zao. Wataichagua ccm bila kujali imemsimamisha nani.
my take. Hongera wana kalenga
Kwani kunachama cha kushindana na ccm hapa tanzania.
Tatizo ni huu uhuru wa kupost...... hata wendawazimu sasa mnaweza kupost chochote
Kwani kunachama cha kushindana na ccm hapa tanzania.