Hii inaonesha Mkuu kama yamekukuta wewe vile,ila all in all,we usimuulize wife kwamza,mchunie, then fuatila kwa makin conversion zake na huyo msela wako (Kama una Moyo lakini,na kama unataka kuyafukua), then Mkuu,usije tu ukanywa sumu Bro,maana inaonekana kabisaa,wife wako kashaingia kumi na nane za msela na kashaelekea Kibra tayar kuchinjwa.Ndani ya Pochi ya Wife jamaa anakutana na Business Cards kibao..anaanza kuzisoma.. mara anakutana na moja inayosomeka Bernad. J. Kululetera...Ni HRO wa Kampuni moja hapa Bongo...Kumbukumbu zinamrudisha nyuma..oh.. yes anakumbuka walisoma wote Tosamaganga..a.k.a Tosa...BUT mshkaji kwa mademu alikuwa noma...Jamaa anaanza kupta waswas...anarecord namba za Simu halaf anauchuna...In Few days to come anaperuzi tena simu ya Wife mara anaiona ile namba ikiwa imeseviwa..Cool...Mshkaji anaanza kuweweseka kulikoni?..Ni kwanini Cool badala ya KULULETERA?...au ndo ''romantic abbreviations''?..Kumuuliza wife anashindwa itaonekana jamaa mchokonozi?..Ku'take' eazy anaona haijatulia...Anakuja mbio kwa wadau..Swali lake NIFANYEJE?
Mkuu Bramo hayajanikuta mie..mbona ningekuja kama kawaida kimimi!!Hii inaonesha Mkuu kama yamekukuta wewe vile,ila all in all,we usimuulize wife kwamza,mchunie, then fuatila kwa makin conversion zake na huyo msela wako (Kama una Moyo lakini,na kama unataka kuyafukua), then Mkuu,usije tu ukanywa sumu Bro,maana inaonekana kabisaa,wife wako kashaingia kumi na nane za msela na kashaelekea Kibra tayar kuchinjwa.
Kama unataka ku rescue Mapema,mtafute huyo mSela wako,jidai umepata No Yake kupitia msela mwningine then Mkaribishe home,may be ataku respect akijua Kuwa huyo Demu,ni my wife wako
Ni hayo tu kwa leo Boss,pole sana
Hii inaonesha Mkuu kama yamekukuta wewe vile,ila all in all,we usimuulize wife kwamza,mchunie, then fuatila kwa makin conversion zake na huyo msela wako (Kama una Moyo lakini,na kama unataka kuyafukua), then Mkuu,usije tu ukanywa sumu Bro,maana inaonekana kabisaa,wife wako kashaingia kumi na nane za msela na kashaelekea Kibra tayar kuchinjwa.
Kama unataka ku rescue Mapema,mtafute huyo mSela wako,jidai umepata No Yake kupitia msela mwningine then Mkaribishe home,may be ataku respect akijua Kuwa huyo Demu,ni my wife wako
Ni hayo tu kwa leo Boss,pole sana
muhimu afanye uchunguzi zaidi ndio ataujua ukweli,akimuuliza mke wake,atakataa tu,kwani jina sio ushahidi tosha.na kama kuna ukweli fulani,bora amkaribishe{ila inataka moyo}huyo mke anaweza kurudi nyuma kwa alilotaka kulifanya.kuna jamaa mmoja ali suspect mke wake ana cheat,alifanya juu chini akajenga mazoea na huyo jamaa,katika kumzoea,huyo mwizi alijua kama yule mke,ni mke wa huyo jamaa,yule mume,akamtungia storu kuwa ameathirika,yule mwizi alimuacha yule m.ke,aliogopaSwali la mdau ndo liko hapo da Kisukari...kwa nini lipambwe kinaksh..nakshi?
<br />Akichelewa kuchukua hatua mkewe atamegwa!
<br /><span style="font-family: comic sans ms"><font size="3">Ndani ya Pochi ya Wife jamaa anakutana na Business Cards kibao..anaanza kuzisoma.. mara anakutana na moja inayosomeka Bernad. J. Kululetera...Ni HRO wa Kampuni moja hapa Bongo...Kumbukumbu zinamrudisha nyuma..oh.. yes anakumbuka walisoma wote Tosamaganga..a.k.a Tosa...BUT mshkaji kwa mademu alikuwa noma...Jamaa anaanza kupta waswas...anarecord namba za Simu halaf anauchuna...In Few days to come anaperuzi tena simu ya Wife mara anaiona ile namba ikiwa imeseviwa..Cool...Mshkaji anaanza kuweweseka kulikoni?..Ni kwanini Cool badala ya KULULETERA?...au ndo ''romantic abbreviations''?..Kumuuliza wife anashindwa itaonekana jamaa mchokonozi?..Ku'take' eazy anaona haijatulia...Anakuja mbio kwa wadau..Swali lake NIFANYEJE?</font></span>