Kakuta condom kwangu

mtu bati

Senior Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
117
Reaction score
129
Kuna mpenzi wangu alikuja kwangu kunitembelea. Alikuja kulala kabisa. Sasa nilikuwa na condom za zaman kidogo kabla sijawa naye kimahusiano Huwa naweka Incase of emergency. Kwangu nilifanya usafi sasa nilivyozikuta kwenye box nikatupa nje box then nikachomeka condom kwenye kochi.

Nikasema nitazitoa baadae nikasahau. Mdogo wangu alikuja kunisalimia akawa anacheza kwenye kochi akawa kazitoa nikaja kumuona Nikamwambia rudisha ulikokuta kumbe hakurudisha vizuri.

Ilibaki juu. Mpenz kaja kakaa kwa kochi akaona pakti bahat mbaya. Kikawaka. Usiku kucha kulia na kunilalamikia. Nikabembeleza wee, usiku wa manane akanipa mzigo ila hakutoa ushirikiano ipasavyo.

Nikapiga nikashuka. Tukalala asubuh akaondoka huku kakasirika. Je ataniacha? Maana mpaka sasa nimetulia tu. Nilimueleza kuwa ni za zaman lakin haamini kanuna. Nabembeleza kidogo ila bado kanuna.
 
Pole sana, hawezi kukuacha kua na amani...
 
Unge mwambia ulikua unafanya experiment ya kujaza ndoo ya maji kwenye ki ndom teh teh teh
 
Ungemchenjia kuwa yeye ndo kaja nazo afu unamtishia kumpiga chini...we vp bwana mbona unaniangusha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…