yaani mm namshukuru mungu vilevi vyote vimenishinda ugoro ikiwemo. kuna rafiki yangu moja anatumia ugoro. anahamisha hamisha mara mdomo wa juu mara wa chini ukimuuliza kwanin anahamisha hamisha anakuambia imepoteza sense yaani cell zimekufa.hafeel ukali wake. nimemshauri achana naye lakini wpi. addiction ni balaa. asipotumia anasema mtandao wote inasoma sufuri. ( kichwa chake). yaani ni shidaaa .