kaka yetu wa copter tunduma, hebu mcheki huyu m-sweden anarusha kochi huku amekalia,


mxyo16

mxyo16

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
1,246
Likes
633
Points
280
Age
27
mxyo16

mxyo16

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
1,246 633 280
Bado tunakusubiri ulisema unasubiri mbio za mwenge.....


Huyu fundi mwenzio pia amefundisha chakufanya ili kupaa namna hiyo, pitamo mkuu..waweza okoteza mawili matatu.
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,302
Likes
6,752
Points
280
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,302 6,752 280
Ila mbona jamaa wa tunduma alifanikiwa kurusha helicopter yake au hukuiona???
Kama hukuiona basi ni ile iliorushwa na rubani wa photoshop...
 
mxyo16

mxyo16

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
1,246
Likes
633
Points
280
Age
27
mxyo16

mxyo16

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
1,246 633 280
Ila mbona jamaa wa tunduma alifanikiwa kurusha helicopter yake au hukuiona???
Kama hukuiona basi ni ile iliorushwa na rubani wa photoshop...
hahahaha, ndio namhamasisha hapa, huyu fundi mwenzie karusha kochi kwanza kabla ya kuunda kopta yenyewe, kajaribu kama mara kumi hivi mpaka kochi likanyanyuka hewani....aachane na fotoshop.
....na pia vyuma ni vingi sana kwenye kopta yake. Yaweza ikaja kua a flying death machine!! Atafute fibers, mafundi wenzake wanatengenezea maboti mitaa ya pwani ya dar.
 

Forum statistics

Threads 1,236,152
Members 475,007
Posts 29,248,267