huyu ni kaka yake na huyo anaekuboa?
au hawa wengine tena?
Hahahhahahaha! Swali lako limenifurahisha huyo aneniboa sina mahusiano nae, hawa wengine lol
Kwahiyo hawa wawili
mmoja unae,mwingine hutaki ku lose friendship,?
mtu na kaka yake?
na mwingine zoba anakuhonga na humpendi?
hongera saana....umeendelea kwa kweli..
Mbona hayo madogo tu, kuna mengine nkikwambia utacollapse
Hahahhahahaha! Swali lako limenifurahisha huyo aneniboa sina mahusiano nae, hawa wengine lol
Trust me
by this age huna utakaloniambia la kunishangaza
yote unayofanya now ni marudio ya wenzio tu
hakuna jpya...ndo ujana huo so enjoy yourself while it last
Oookey! Kumbe unakipaji cha Kubadili Wavulana eee!
Bila shaka Unakipaji hata cha KUWACHANGANYA, wewe hujui tu! Urafiki utamtesa kaka mtu, mapenz unaogopa coz ni kaka wa B.frnd wako, hapo u-balance interest = nyumba ya kando!
Nakuaminiaaaaaa.....!
Huyu Keshapenda tayari, hana ujanja hapa anajifariji tu lkn yupo tayari kutoa mzigo kwa kaka mtu, na inaonekana bro mambo safi zaidi ya DOGO
Jf never ceases to amaze me, you pipo have an imagination worth praising
trust me
by this age huna utakaloniambia la kunishangaza
yote unayofanya now ni marudio ya wenzio tu
hakuna jpya...ndo ujana huo so enjoy yourself while it last
umeona ee! Yani aliponawa yeye sie tulioga zamaani!
Haka kataoto kanazingua kweli.....kama kana vistory vya kutunga hivihuyu ni kaka yake na huyo anaekuboa?
au hawa wengine tena?
Haka kataoto kanazingua kweli.....kama kana vistory vya kutunga hivi