Kaka huyu bahiri

Raha,Karaha twapata wote sa iweje uniombe hela????Mapenzi haya!!!!Bora kujipa raha mwenyewe tu kwishineiiiiii!!
 
Wanawake wamejengeka kuamini kua wao ni wakupewa tu,asubuhi ukisahau kuacha ya matumizi unaweza akarudi jioni na hapajapikwa wakati wife ana hela kwenye pochi tena anakuzidi mshahara.
 
Wanawake wamejengeka kuamini kua wao ni wakupewa tu,asubuhi ukisahau kuacha ya matumizi unaweza akarudi jioni na hapajapikwa wakati wife ana hela kwenye pochi tena anakuzidi mshahara.

ni nature...
 
kwa nini mnaogopa kuhudumia na angali ndo kazi yenu??
:A S wink::A S wink::A S wink:
 
Imeandikwa Adam utakula kwa jasho...........
 
Wanaume bahili Mara nyingi hawajiamini hata Ku mposses mwanamke
 
Ukiona mwanamke anakuomba omba hela ujue hakupendi ,.so.,kifuatacho ITV wewe timiza demand zako then ingia mitini la sivyo utafanywa ATM ya benki ya Barcleys
 
Huyo ni mwanamke hafai kuwa mke ukijichanganya kuoa sampo hii ajiri psychologist wako kabisa!
 
mwanamke akipata mwanaume maana yake amepata kaz pia
ndo tstizo
 
mwanamke omba omba!" hafai kupewa fursa ya kuoa ...........

Grand PA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…