Kajisalimisha mwenyewe

Huyu kama sio chizi basi alikotoka ni kwamoto hatar
 
Huyo Dada aliyevaa nguo ya vidoti doti macho kayaelekeza chini ya kiuno cha jamaa sijui anathaminisha nini![emoji15]
 
Duh kweli usijisifu una mbio msifu anaekukimbiza.sipati picha kijeba kilicho mtoa nduki huyo jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…