Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 925
- 1,954
La akina Mama a.k.a Looser Cup ambalo Ahmed Ally alilia kwa 5imba kuingia Nusu Fainali. 😁😁😁Ndo kombe gani?.
Kumbe la kimataifa Yani CAF basi verry goood...La akina Mama a.k.a Looser Cup ambalo Ahmed Ally alilia kwa 5imba kuingia Nusu Fainali. 😁😁😁
Sio la CAF ni la ACT Wazalendo. Unasemaje binti wa Rage?Kumbe la kimataifa Yani CAF basi verry goood...
Msyuuuu 😎 😎 😎
Sio la muunganiko? Yani la udongo na majiSio la CAF ni la ACT Wazalendo. Unasemaje binti wa Rage?
Ni kombe la FA hilo ni sawa na CRDB federation cup kwa huku Tanzania. Hivyo wamepata tiketi ya kucheza CAFCC msimu ujaoNdo kombe gani?.
Asante sana kwa jibu zuri.....sikua najua hiloNi kombe la FA hilo ni sawa na CRDB federation cup kwa huku Tanzania. Hivyo wamepata tiketi ya kucheza CAFCC msimu ujao
Bila kuitaja Yanga unahisi kufakufa tu..!!Aliona ubabaishaji Utopoloni akasepa. Ila naona kwenye ligi wako nafasi ya 9.
Nusu final Nabi alimuondoa mamelodyNilitaka kushangaa mamelodi alikuwa wapi😆
Kumbe Utopolo ndiyo Yanga!Bila kuitaja Yanga unahisi kufakufa tu..!!