Kiungo kimeo yule lwanza hana nguvu na hajui kuficha mpira, Kama kiungo tena Namba 6 unakosa Nguvu na kuficha mpira ni shida wewe una nafasi, yule kazi yake kuroga tu, Wachezaji wengi waKibongo wanachojua ni kuroga wachezaji wa Kigeni tu ndiyo maana hawana soko nje ya Nchi, Mfamo Fei Toto alikua ana mroga AZiZ K.Kagoma tunae na tunatamba nae...
Nimeona mjadala watu wakilalamika kuhusiana na yusuph kagoma kwamba kiungo chake ni outdated na kwamba anacheza kizamani tuangalie kwanza aina za DM halafu tuwekane sawa
Defensive midfielder(DM)Huyu ni ni kiungo mkabaji ambaye majukumu yake purely ni majukumu ya ulinzi ambapo anasaidia kulinda backline,kuintercept passes,kuvunja counter attacks,kuretain possession na kusambaza mipira kutokea chini
Sasa huyu DM wamegawanyika kuna
1 Destroyer au ball winning midfielder
2 deep lying playmaker wengine wanawaita regista
3 anchor man midfielder
1 Tukianza na destroyer hapa huyu focus yake ni kuwin mpira anaweza asiwe passer mzuri lakini sifa zake kuu anakua aggressive/mkatili mvunja kuni na hana mambo mengi
mfano hapa kuna fabinho,casemiro,gattuso kibongo bongo
Alikuwepo taddeo lwanga,zawadi mauya,hata kanoute kipindi anacheza no 6 na currently namuona kagoma akiwa ni aina hii ya DM
2 deep lying playmaker/regista
Huyu anaamua tempo ya mchezo anatakiwa kua na high passing accuracy long balls,tactical na Kubwa awe na vision hawa sio wakatili sana wanalenga zaidi kuchezesha timu kutokea chini
Mfano utamkuta busquet,jorginho au pirlo,kimmich
Kwa bongo aucho,bitegeko hata huyu okejepha wanaweza kua regista wazuri
3 anchor man midfielder
Huyu anakua Mara nyingi yupo chini analinda ukuta na hawatoki sana nje ya eneo lao Mara nyingi wanakua na discipline nzuri na tactical awareness
Mfano wao hapa ni nemanja matic
Sasa kila kocha kulingana na mfumo wake anakua anaprefer aina Fulani ya DM mfano klop alikua anapenda zaidi wakata kuni kuna mourinho,Deschamps na etc
Taifa stars chan ukiangalia kocha anaprefer zaidi destroyer kagoma ambaye mbele yake anasimama mudathir kama deep lying au sometimes box to box kwahiyo binafsi naona kagoma yupo sahihi labda tu ni vile anacheza rafu ambazo zinazidi Ila ukiachana na hiyo kagoma ni kiungo ambaye ningechagua kwenda naye binafsi anaprefer zaidi viungo no 6 wakatili,wagumu
Karibuni
Jana nimemuona kagoma, shida sio luwa pure DM, ana matatizo kama ball control, timing mbovu ya tackling, kama alivyoigharimu simba fainali na jana yalikuwa yajirudie.
Anaugopa mpira kama una moto, sawa usikae na mpira, lakini ndio sio sababu ya kuutoa mguuni kwako kama unapiga kaa la moto.
Hata mudathiri nae ana changamoto ya ball control, akipasiwa goli la mpinzani kalipa mgongo atapiga back pass.
Sio wazuri kwenye kuscan(360°)
Sio press resistance wazuri, wakipresiwa wanapoteza mipira,
Sio wazuri kukaa kwenye nafasi ya kupokea mpira toka kwa CBs
Mudathiri atapiga pasi nzuri ikiwa amepokea mpira huku anatizama goli la mpinzani
Kwa aina yake ya uchezaji, kwa kweli ametusaidia sana alipoamua kwenda simba. Mchezaji gani yule! Yaani mechi alizocheza na kuto kuoneshwa kadi ya njano/nyekundu, zinahesabika!Mpaka leo sijui kwa nini Yanga walitaka kusajili kile kimeo
Hivi kwa wazawa nani anamzidi kwa nafasi yake anayocheza?Mpaka leo sijui kwa nini Yanga walitaka kusajili kile kimeo
Hawajapitia academy sio wakulaumiwa sanaJana nimemuona kagoma, shida sio luwa pure DM, ana matatizo kama ball control, timing mbovu ya tackling, kama alivyoigharimu simba fainali na jana yalikuwa yajirudie.
Anaugopa mpira kama una moto, sawa usikae na mpira, lakini ndio sio sababu ya kuutoa mguuni kwako kama unapiga kaa la moto.
Hata mudathiri nae ana changamoto ya ball control, akipasiwa goli la mpinzani kalipa mgongo atapiga back pass.
Sio wazuri kwenye kuscan(360°)
Sio press resistance wazuri, wakipresiwa wanapoteza mipira,
Sio wazuri kukaa kwenye nafasi ya kupokea mpira toka kwa CBs
Mudathiri atapiga pasi nzuri ikiwa amepokea mpira huku anatizama goli la mpinzani
UmeuaMpaka leo sijui kwa nini Yanga walitaka kusajili kile kimeo
Mkuu bora ata Mudathili anajitahidi kwenye kukaba na kuficha mpira na anafanyiwa faulo na anafanya faulo ambazo hazina madhara kwa timu.Jana nimemuona kagoma, shida sio luwa pure DM, ana matatizo kama ball control, timing mbovu ya tackling, kama alivyoigharimu simba fainali na jana yalikuwa yajirudie.
Anaugopa mpira kama una moto, sawa usikae na mpira, lakini ndio sio sababu ya kuutoa mguuni kwako kama unapiga kaa la moto.
Hata mudathiri nae ana changamoto ya ball control, akipasiwa goli la mpinzani kalipa mgongo atapiga back pass.
Sio wazuri kwenye kuscan(360°)
Sio press resistance wazuri, wakipresiwa wanapoteza mipira,
Sio wazuri kukaa kwenye nafasi ya kupokea mpira toka kwa CBs
Mudathiri atapiga pasi nzuri ikiwa amepokea mpira huku anatizama goli la mpinzani
Mudadhiri yupo vizuri, na naamini wapo wengi tu wanao mzidi sema tu bado hatuja waona, Deborah na Kagoma bora wangemuacha Debora tu.Hivi kwa wazawa nani anamzidi kwa nafasi yake anayocheza?