Sikufuatilia mechi. Nilikuwa nakatiza Katavi National Park nilipofika njia panda nikauliza matokeo ndio nikaambiwa tumeshinda 2-1.Mechi ilikuwa nzuri?Wafungaji nani?
Refa ni binadamu, si mkamilifu huenda kaona beki wa Kagera Sugar akiunawa na hakuona beki wa Simba kuunawa mpira. Kagera Sugar waheshimu maamuzi ya refa na wakubali matokeo, huo ndio mpira wa miguu.