Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,255
- 23,010
Haina ushindani hivi Kagera nguvu za kucheza wanazitoa wapi, wamesafiri kwa basi kutoka Dar kwenda Bukoba usiku wa trh 8 baada ya mechi na yanga na wamefika jana, na leo wacheze na Simba.Team zipo kwenye maandalizi. Kagera Sugar wamejipanga vizuri kuweza jipigia Simba hii mbovu ambayo kila atakaye anajipigia. Kagera wametamba kuwa ushindi kwao ni lazima. Yaani wakimkosa kosa sana Simba basi ni draw.
Simba inaingia uwanjani ikiwa na woga siku zote inapopambana na Kagera huwa nyasi zinawaka moto na wakijitahidi sana hasa Kagera akiwa nyumbani huwa ni sare.
Hivyo tutegemee match yenye ushindani mkubwa sana kutokana na ukweli kuwa team ya Kagera imekuwa ikipata ushauri mzuri kutoka Yanga. Na wameshapewa mbinu za kuifunga Simba kutokana na ukweli wa Simba mwaka huu kagawa points 6 kwa Yanga.
Msikae mbali. Tupate matangazo ya wadhamini kwanza. Wakati huu Juma Mgunda akinywa Uji na wachezaji wake wakinywa chai ya hudhurungi na andazi moja moja isipokuwa namwona Kibu Denis yeye ameshika pande la muhogo wa kuchemsha.
Kwa kama sio kuelekea simba day huwa wanapoteza kusudi au kuzidiwaSimba hatapoteza mechi hata Moja kwa zilizobaki
Hii huwa ni kawaida kwake hata msimu uliopita ilikuwa hivyo na lengo huwa ni kuamsha hali ya mashabiki kuelekea Simba day
Hata haieleweki ila huwa mwisho wa msimu wanawaka sanaKwa kama sio kuelekea simba day huwa wanapoteza kusudi au kuzidiwa
Changia zako inatoshaUnfortunately hadi nyuzi zenu mnasusia kuchangia
Moto wa mgunda ni uleuleThimba guvu moya
Nguvu ya soda hamna kitu nyieMoto wa mgunda ni uleule
Tulieni nyieChangia zako inatosha
UsitunyamazisheTulieni nyie
Hii kagera sugar imekamilika usiichukulie powaSimba hatapoteza mechi hata Moja kwa zilizobaki
Hii huwa ni kawaida kwake hata msimu uliopita ilikuwa hivyo na lengo huwa ni kuamsha hali ya mashabiki kuelekea Simba day