Kagasheki tumekupa salam ya kwaheri

Kagasheki tumekupa salam ya kwaheri

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Wana Bukoba na zaidi wa manispaa ya Bukoba tumeishampa kwaheri (mpao) Kagasheki. Ni jambo la kushangaza leo hii sisi waendesha pikipiki tunaonekana wa maana ili hali Kagasheki ulisimama bungeni na kusema bodaboda si ajira. Leo hii unatuona sisi lulu kwako kwa kutupa bendera na mafuta ili tukuunge mkono. Hapana kabisa hela tumechukua na mafuta lkn kula hamna.
Bukoba tulikua na kiwanda cha BUKOP kilitoa ajira leo hii miaka 15 akifanyi kazi na unatuambie eti ajira

Tangu Kagasheki uende bungeni uajawai ata kulisemea la meri tuliopewa ahadi ilihali unajua kua meri ilitupa ajira kibao.KAGASHEKI KWAHERI TUNAMTUMA LWAKATARE MTETEZI WETU.
 
Kwani toka sense bungeni aliwahi kutetea nini kwa wananchi wa bukoba, Mimi simtofautishi na mwenyekiti wa mtaa
 
Hongereni sana wana Bukoba,katika majimbo ambayo sina shaka nayo ni hilo.
cc Ta Muganyizi
 
Last edited by a moderator:
Lwakatare mwenyewe haaminıki ndani ya Chadema.Licha ya Chadema kuwa na uhaba wa rasilimali watu wenye uwezo mkubwa bado Lwakatare hana nafasi yoyote ya maana ndani ya chama alafu ndo mnataka achaguliwe??Kachuja sana huyo,hawezi kushnda.
 
Wana Bukoba na zaidi wa manispaa ya Bukoba tumeishampa kwaheri (mpao) Kagasheki. Ni jambo la kushangaza leo hii sisi waendesha pikipiki tunaonekana wa maana ili hali Kagasheki ulisimama bungeni na kusema bodaboda si ajira. Leo hii unatuona sisi lulu kwako kwa kutupa bendera na mafuta ili tukuunge mkono. Hapana kabisa hela tumechukua na mafuta lkn kula hamna.
Bukoba tulikua na kiwanda cha BUKOP kilitoa ajira leo hii miaka 15 akifanyi kazi na unatuambie eti ajira

Tangu Kagasheki uende bungeni uajawai ata kulisemea la meri tuliopewa ahadi ilihali unajua kua meri ilitupa ajira kibao.KAGASHEKI KWAHERI TUNAMTUMA LWAKATARE MTETEZI WETU.

Nakubaliana na wewe asilimia 100; Khamis Sued Kagasheki Atelwe Atae! itakuwa asante ya nguvu kwa Wlifred Muganyizi Lwakatare ambaye alipambana kuhakikisha Boda-boda (Asekido); zinahalalishwa kiasi cha kufikia yeye mwenyewe kupigwa na polisi!!

Kagasheki atelwe atae!
 
Lwakatare mwenyewe haaminıki ndani ya Chadema.Licha ya Chadema kuwa na uhaba wa rasilimali watu wenye uwezo mkubwa bado Lwakatare hana nafasi yoyote ya maana ndani ya chama alafu ndo mnataka achaguliwe??Kachuja sana huyo,hawezi kushnda.

Katibu wa ulinzi na usalama CHADEMA unamjua? Unakumbuka Lwakatare akiwa waziri mkuu kivuri bungeni kazi alizofanya? Kagasheki ana ata positive legacy kwa wanabukoba. Labda kuonga hela tu buku tano au kumi. Bukoba kwasasa inaitaji mtu atakaye ifanya ifikie angalau kuwa jiji maana uwezo huo hupo kabisa. Leo mnawasomba watu mpaka ata magari ya shule ya KEMEBOS daaah ila kipigo kipo pale ata kama mmewaleta wasanii
 
😀😀😀😀😀😀 magufur na lwakatare oveerrrr wagonjwa wenu peleken huko
 
Nakubaliana na wewe asilimia 100; Khamis Sued Kagasheki Atelwe Atae! itakuwa asante ya nguvu kwa Wlifred Muganyizi Lwakatare ambaye alipambana kuhakikisha Boda-boda (Asekido); zinahalalishwa kiasi cha kufikia yeye mwenyewe kupigwa na polisi!!

Kagasheki atelwe atae!
Nyie ni wakazi wa Bukoba wa kubeep. Hivi hao boda boda wako wangapi mtufanye kuamini kuwa ni wao ndio wameshikilia ushindi wa Lwakatare? Mbona tunaaddress issues kirahisi rahis hivi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom