Kagame please follow your doctors from Russia.this is one of the damn country.

damn ma men hujufa hujaumbika just watch this video..ilirushwa na Russian Today.
 
What is it about?
ok jamaa kutoka rwanda walienda urusi kusoma akakutana na mdada kutoka rwanda wakaoana na wote ni madaktari..ila walishindwa kurudi nyumbani kwa sababu ya ile vita na sas hivi wanalima huko urusi kwenye baridi kali wanafuga mbuzi ...na walishindwa kupata kazi yoyoe kuhusu walichosomea kumbuka hawa wote waligraduate udaktari specialist,,.....damn!!!!
 
Asante kwa kunambia. sasa ngoja niangalie video.
Hua naogopa sana kufungua video, zingine ni balaa tupu!
 
..inawezekana hawa ni WAHUTU ndiyo maana inakuwa shida kwao kurudi RWANDA.
 
kwa nini? bado ukabila upo kwani?
Upo sababu hii regime ya Kagame imekataa kabisa kukubali kua wahutu pia waliuwawa, kwa hiyo watu walio poteza ndugu zao kwa panga la FPR (Army ya Kagame wakati ule) wanahisi haki zao hazijatambuliwa. It is a long and sad story kwa kweli. And indeed, hao wawili hapo ni wahutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…