Jamaa yuko spot on. hayo mimi niliambiwa na wenyeji wa huko enzi hizo nilivyowaambia nataka kuhamia nchini kwao. Wakafunga milango na madirisha halafu wakacheka wakiniuliza "wenzio tunataka kukimbia wewe unataka kuhamia"? Halafu hao ni watutsi mind you!