Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,728 May 12, 2021 #2 Hiyo miwani mbona ni kubwa sana?
Pabloz JF-Expert Member Joined Oct 24, 2020 Posts 1,818 Reaction score 9,334 May 13, 2021 #3 mwaka gani hiyo?
Affet JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 1,189 Reaction score 1,677 May 13, 2021 #4 Naona Kagame yupo na role model wake
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,053 Reaction score 23,669 May 13, 2021 #5 Behaviourist said: Hiyo miwani mbona ni kubwa sana? Click to expand... Miwani sio kubwa ila mwamba alikuwa fuvu tu
Behaviourist said: Hiyo miwani mbona ni kubwa sana? Click to expand... Miwani sio kubwa ila mwamba alikuwa fuvu tu
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,439 May 13, 2021 #6 Red Giant said: View attachment 1783096 Click to expand... Hii picha imenifikirisha mengi kuhusu Kagame na harakati zake.
Red Giant said: View attachment 1783096 Click to expand... Hii picha imenifikirisha mengi kuhusu Kagame na harakati zake.
worms JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 980 Reaction score 927 May 13, 2021 #7 nguvu said: Miwani sio kubwa ila mwamba alikuwa fuvu tu Click to expand... Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
nguvu said: Miwani sio kubwa ila mwamba alikuwa fuvu tu Click to expand... Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,747 May 13, 2021 #8 Duh kama kasomali oriyaaa
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,378 May 13, 2021 #9 nguvu said: Miwani sio kubwa ila mwamba alikuwa fuvu tu Click to expand... πππππ mkuu pamoja na kuwa ana USO kama kipele akili ni nyingi Tofauti na kichwa kama fenesi akili kisoda
nguvu said: Miwani sio kubwa ila mwamba alikuwa fuvu tu Click to expand... πππππ mkuu pamoja na kuwa ana USO kama kipele akili ni nyingi Tofauti na kichwa kama fenesi akili kisoda
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 15,939 Reaction score 20,231 May 14, 2021 #10 Badae huyo Mobutu aliomba poo kwa Kagame. Siasa mchezo mchafu
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,945 May 14, 2021 #11 Me too said: πππππ mkuu pamoja na kuwa ana USO kama kipele akili ni nyingi Tofauti na kichwa kama fenesi akili kisoda Click to expand... Nani anazo akili nyingi??? Kagame??
Me too said: πππππ mkuu pamoja na kuwa ana USO kama kipele akili ni nyingi Tofauti na kichwa kama fenesi akili kisoda Click to expand... Nani anazo akili nyingi??? Kagame??
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,327 May 14, 2021 #12 Mokaze said: Nani anazo akili nyingi??? Kagame?? Click to expand... Angetueleza kwamba Kagame ni mwizi ningemuelewa.πππ
Mokaze said: Nani anazo akili nyingi??? Kagame?? Click to expand... Angetueleza kwamba Kagame ni mwizi ningemuelewa.πππ