naamini uongozi uliomakini wa yanga watumie sheria na kanuni za mashindano za fifa zinazo elekeza kama cecafa hawana utaratibu wa kushiriki wasishiriki kabisa wasiburuzwe na dikteta musonye wache acheze yeye na tenga wake.
na yanga asiposhiriki cecafa wamekwisha lazima musonye akomeshwe kama alivyoikomesha yanga
Sijui Misonyo!!!
Sijui Matenga!!
Sijui Mlinzi!!!
Sijui Kaburi!!!
Sijui Hanisi Popo!!
P.u.m.b.a.v.u zao hawa, dadeki zao wacheze wenyewe na wake zao, yanga sio ya kuburuzwa buruzwa.