Kagame challenges students to inspire their communities

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
1465684750kagame-students.jpg

President Kagame with the students who have landed scholarships to study at some of the world's renowned universities and colleges through the Bridge2Rwanda Scholars programme at the commissioning ceremony in Kigali yesterday. (Village Urugwiro)

President Paul Kagame has challenged African youths, who get opportunities to study from the world’s best schools, to keep their ambitions aligned with the greater targets of their native countries.

Kagame said this, yesterday, at the Bridge2Rwanda commissioning ceremony of 41 students from Burundi, Liberia, South Sudan, DR Congo and Rwanda, who have landed scholarships to study at some of the world’s renowned universities and colleges through the Bridge2Rwanda Scholars programme.

The students, who have been in Rwanda for over a year undergoing career preparatory lessons by Bridged2Rwanda, are bound to join Yale University, Massachusetts Institute of Technology (MIT), Harvard, Princeton University, Brown University, Tufts University, Williams University and University of Pennsylvania, among others.

“Nothing has greater value than human beings endowed with the knowledge and values needed to achieve their full potential,” Kagame said.

He added, “Wherever you are, whatever you are doing, find your own way to keep Africa and Rwanda at the front of your mind and in your heart.”

The President reminded the students that they belong to families, communities and nations, to which everyone owes a part of the success they are fortunate to attain through acquiring first-class education opportunities.

He noted that when the right mindset and enabling environment are in place, nothing can hold any given African society back.

“The more you achieve, in fact, the greater your responsibility to those around you, and to society as a whole,” he said, adding, “As individuals, we cannot achieve much, no matter how talented. But together we can do anything,” the President noted.

Bridge2Rwanda is an American non-governmental organisation (NGO) which offers preparatory lessons to high school graduates who qualify for scholarships in American universities. The organization also goes an extra mile of outsourcing fully paid university scholarships for the exceptionally smart students from Rwanda and neighboring countries.

Mary Ingabire, a Rwandan student who intends to pursue international relations and diplomacy at Hendrix College, said that the opportunity is rather more of a challenge than jubilation.

“The President was sending us out into the world to go make our dreams and the dreams of our nations come true. It is a big challenge, knowing that everyone expects so much from you, but we will take it on as a source of encouragement to aim for the best,” Ingabire said.

Serge Saidi, 23, from the DR Congo, will be headed to Harvard College of engineering, with a one statement in mind; “to go on to do great things for my country and my continent.”

“It is always a good feeling to feel welcomed and loved in a country that is not yours. And why not, I see myself becoming more of an African citizen than just someone from Congo,” he added.

Dale Dawson, the chief executive of Bridge2Rwanda, said that the programme is aimed at transforming Rwanda into a knowledge hub of Africa.

“Our interest is in helping young people from Rwanda to develop their capacity and we haven’t run short of extremely talented and inspiring young people here. We want Rwanda to become a regional influence and knowledge hub, and that’s what drives us,” Dawson told The Sunday Times.

According to Fonda Kempton, the organisation’s executive director, Bridge2Rwanda has seen about 175 Africa students, majority of whom are from Rwanda, join different celebrated universities and colleges across the world.

editorial@newtimes.co.rw
 
Ngoja aje yule mbaguzi Jmali na genge lake maana kila siku wanadanganya watu humu hizo ni za watutsi,
 
Africa is moving next level. Pres Kagame anamaono. Kusaidia initiative za vijana ndio way forward. Nashangaa vijana wamelala ukitembelea communities nyingi Tz vijana hawafanyi lolote, hakuna wanaharakati wa mazingira, hakuna street educators. It's high time vijana wa Tz fanya kitu kusaidia community yako.....ni jambo poa sana.
 
sinilikuambia mkuu MALCOM LUMUMBA #hapakazitu! lol

Mhhh!
kama anasomesha kwa nguvu hichi kizazi basi kuna mwanga mzuri mbeleni.
Lakini hawa wanafunzi wanaosoma nje ni lazima wakumbushwe kwamba ni Rwanda ndiyo iliyowapeleka huko.
Maana bila kuwafunga spidi gavana huwa wanasumbua sana hawa, wanaweza wakakimbia nchi au kuwa wezi professionals.
Angalia Kenya na Tanzania shida tupu.
 
bila shaka! hayo mambo hayajaanza leo mkuu, wengine washaanza kurudi tumejazana nao hapa KIGALI! wanafyatua vitu kila kukicha... vilevile kumbuka ya kwamba huwa tunawapiga MSASA kabla ya kuanza safari, huku inaitwa "INGANDO" ile inayopigwa vita na kina jMali kabla ya kuondoka na wanaporudi, wametumwa kutafuta taaruma tu kwani tunajuwa fika huko nje waendapo nchi zishaharibiwa na umaruhuni na ukosefu wa nidhamu kwa faida ya wachache...
 
Aaah Mchambawima, JMali kapinga haya lini tena?
Zaidi zaidi huwa anampinga Kagame na uongozi wake.
Back to topic exchange programs zinasaidia sana kuinua elimu nchi yoyote.

Kuna ripoti ya World Bank inaitwa Road to Academic Excellence nimemalizia kuisoma juzi hapa imeelezea jinsi nchi inaweza kuinua elimu juu nchini.
Wakasema
Mosi, ni lazima uruhusu muingiliano wa kitaaluma.
Walimu na wanafunzi wa kimataifa ni lazima wawepo kwenye hivyo vyuo.
Akatolea mfano mzuri Shanghai and Pohang University of China and South Korea respectively.
Hili lilisaidia sana hata pale UDSM miaka ya nyuma kabla siasa haijaingilia,
Marekani anatumia sana huu ujanja, kajaza maprofesa wa vyuo vya Europe wengi sana.

Pili, wakasema kila nchi ni lazima iwe na World Class Research University walau hata moja,
Nchi iwekeze sana kwenye research and development.
Sasa huku Africa elimu siyo kipaumbele hela za research hawawezi kutoa, wanakazana na masomo ya Arts tu.
Wakatoa mfano wa Malaysian education model na jinsi walivyofanikiwa.

Tatu, wakasema kwenye chuo mtu kuwa mwalimu hawaangalii PhD na GPA pekee,
Ila wanaangalia Talent. Once an Academic always an Academi hakuna kuchanganya utaalamu na siasa kama hapa Africa.
Mtu kama Mwakyembe alivyoikataa research yake kisa chama jamaa angekuwa in deep trouble nchini mwa wenzetu.
Leo advocate anakuwa mwalimu, doctors and engineers muda wote wako kazini tena wanategemewa wafundishe unategemea elimu itakua?
Never, Never, Never!!

Kama Kagame ameshajua umuhimu wa kuwekeza kwenye rasilimali watu basi kwa hapo despite our differences nampa hongera sana.
Elimu ndiyo kila kitu kwenye dunia hii, not sky scrappers and theme parks full of roller coasters utadhani maaendeleo ni vitu.

Pitia link hapa utaelewa nachokisema:http://www-wds.worldbank.org/extern...d/PDF/646680PUB0acad00Box361543B00PUBLIC0.pdf
 
ah kumbe we haumjuwi? anyway! umeongea jambo la maana SANA kuhusu janja ya nyani! lakini ndugu yangu kama umesomea ulaya alafu usirudi basi lazima utakuwa una matatizo! kule washarekebisha kila kitu kwa hiyo hailipi sana na haifanyi uthaminike kuliko walio kutangulia kama huku where we start from scratch! na ndio maana hata baadhi ya hizo universities kama vile Carnegie Mellon tumeona ni muhimu kuzisogeza karibu kusudi hata gharama za kuwatuma zipungue BTW ingawa ipo Rwanda tunalipia BEST students from EAC as well... ooh what a neighbour... and under the leadership of His Excellence Kagame, WE ARE MOTIVATED THAN EVER!
 
Back
Top Bottom