Kati ya wale akina Mama na Kagame mwizi wa dhahabu ya DRC nani anafaa kuitwa mfanyabiashara za Magendo? Halafu mnajifanya Malaika hamkosei mnavopenda sifa za kijinga wakati kwenu maisha magumu sana , Mkoa wa Rwanda unanichekesha sana kijimkoa cha hovyo sijawahi kuona watu wanaokataa watu wao wenyewe kisa ni maskini