murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
mjadala mzima upo hapa, wewe unadakia comment za mbele halafu unataka watu warudie kwa nini? lakini wewe huyo huyo ukiombwa ushahidi, link au reference yoyote ile ndio wa kwanza kuingia mitini. anyway, mjadala ulikuwa kati yangu na murutongore sio wewe.[/QUOTE]
Kama ni kati yangu na wewe tu nitaku PM sio kuuweka hapa. Unajua maana ya Forum? Dimwit
Angalau wewe kidoogo, yule mwenzio wa Gigawatt mpaka leo kimyaaaa. Anyway, interahamwe inajumuisha watutsi na wahutu alike, kwa sababu originally lilikuwa kundi la kisiasa, na halikuanzishwa ili kuua watutsi kama baadhi ya watu wanavyodai, ndio maana hata watutsi nao walikuwamo ndani ya interahamwe.
..sasa Kagame anakuwa raisi wa maisha au wanaongeza tu muda toka 2 terms kwenda 3 terms?
cc MK254, jMali, Talkandtalk, JustDoItNow
Ahahahahaha ndugu yangu Jmali. Yaani hiyo avata inaonyesha wewe ni muhutu original.
Kumbe wazee wa sumu na wazee wa jenosaidi wanasema ukweli wewe ni mhutu kabisaaaaa.....LOL
The new interahamwe inajumuisha wahutu na watutsi not the original interahamwe.
Umeileta ya nini hapa kama hutaki kuhojiwa,ovyoo kama mchuzi wa jana!Wewe bwana minaona tuwasiliane next time kabla haujaingia kwenye vilabu vyako vya mataputapu, kwa hiyo Mugabe alikuwa akisifiwa kwa kuuzia nchi makaburu wakiingeleza? Kagame hana kifani wala mpinzani.
Let us be realistic. Kagame ni Rwanda, na Rwanda ni Kagame. Unajua tukiachana na demokrasia ya magharibi ambayo imetukomoa watanzania under JK, tunaweza kuona kuwa ukiwa na dikteta kama Kagame ni bora kuliko rais aliyechaguliwa kidemokrais kama JK.
Kama kiongozi wa nchi, kama msimamizi wa mali za taifa, kama mkuu wa serikali na idara zake (though not perfect) Kagame is 100 better than JK. Politics aside, uzalendo mpofu pembeni.....Tupende tusipende he is our president who we will never have, hata akiondoka Rwanda, haitakuwa na kiongozi kaka PK. Kuna mengi ya Kagame siyapendi, lakini will be very happy to have him as president of Tanzania.
hiv ubaya wa kagame ni upi kwa maendeleo ya rwanda na utengamav wake?. kafanya makubwa kwa rwanda ila nature ya binadam ni kutaka mabadiliko hata kama hakuna ulazima jambo ambalo litamkumba hata kagame..
Wakuu inabidi tukumbushane, muuaji ni muuaji tu whether Interhamwe or not. Kuua ni kuua tu. Ni ujinga kuona mauji ya Interhamwe yalanaaniwa na yaliyofanywa na RPF yatukuzwe. Genocide is genocide regardless on who commits it.
Kim jong anafanya makubwa, gadafi alifanya makubwa, mugabe alifanya makubwa, hosni mubarak alifanya makubwa, Mobutu alifanya makubwa......Jambo la msingi ni kuwa katika mfumo wa kidemokrasia lazima uachie wenzako na sio kung'ang'ania madaraka.
Kim jong anafanya makubwa, gadafi alifanya makubwa, mugabe alifanya makubwa, hosni mubarak alifanya makubwa, Mobutu alifanya makubwa......Jambo la msingi ni kuwa katika mfumo wa kidemokrasia lazima uachie wenzako na sio kung'ang'ania madaraka.
Awamu yake ya pili imeisha wewe dimwit? Anang'ang'ania nini wakati term yake haijaisha?
Kwa hiyo hata nyie mliowaua waganda kwenye vita ya iddi amin mnastahili mpelekwe the Hague sio? "Kuua ni kuua tu"
we bwana achakamba zako! tangu lini nimeingia mitini baada ya kuombwa ushahidi? nikiletakitu hapa ujuwe hakina mpizani, sio wewe na zile habari zako za kuokoteza maraJumbonews mara... moja ya sifa zangu ni kwamba nikiliona tu liinterahamwe naliwahi na misumu yake alafunikishazitoa tu nalionyesha njia ya kurudi mstalini, sema wewe badohujalainika, ipo siku tu utapenda kwenu na ndugu zako bila kubagua.mjadala mzima upo hapa, wewe unadakia comment za mbele halafu unataka watu warudie kwa nini? lakini wewe huyo huyo ukiombwa ushahidi, link au reference yoyote ile ndio wa kwanza kuingia mitini. anyway, mjadala ulikuwa kati yangu na murutongore sio wewe.